"Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

Piga chini huyo
Hajatambua hadi pesa ya kodi unayomlipia.

Anazani maisha ni mepesi hivyo.
Achana naye atakukondesha wewe sasa usipofanya maamuzi ya kumuacha.
 
Suluhu ya matatizo haya ni kuwa mchezaji huru tu...kama huwezi kuwa mwanaume kwa kuvumilia matatizo ya hawa viumbe basi ni kheri uwe unapita na kwenda zako.

Watu hawajakaa wenye ndoa miaka 40+ eti kwa sababu zilikuwa rahisi.au wanawake waliokamilika.
 
Ulimkuta BIKRA?
 
Huo upuuzi ni vizuri imekuwa elimu kwako though you've learned through the hard way, anza kumgharamia mama yako uone atakavyokuwa anakuombea kila siku.
 
Unamlipia kodi? Kwanini amepanga chumba ambacho hawezi kujilipia kodi? Mjini mafala hamuishi?
 

Ule vyakula vya protein umpatie sperms zilizokaa protein anenepe.
 
Nilishaachaga kuwa na roho nzuri kwa hao viumbe. Nikiona unakuja kasi na mahaba yako nakupunguza speed ujione wa kawaida sana halaf napotea, sitaki ugomvi wala shari na kugandana pia sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…