LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Vijana ni wapumbavu sana. Wanadhani hao wana fadhila. Hao hata uwatendee kitu gani, they are only loyal to one thing only, "their feeling" basiiiiiEndeleeni kuwafurahisha wanawake, mtapewa tuzo!
Kama alivyokupenda, akienda kumpenda mwingine usije hapa kutuliliaOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Kama alivyokupenda, akienda kumpenda mwingine usije hapa kutulilia
Kakonda kweli? Au anasingizia?Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Kuachwa kunauma Kwa muda Tu ukipona na yeye anaanza kupigwa matukio atakukumbukaCaptain Morgan imeisha lakini bado niko na mawazo tu
Jifungie ndani ukiwa mwenyewe lia machozi yote yakauke omba rehema kwa Mungu yaani tubu hata kama huoni kutenda kosa ,Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Mwanamke hakumbuki wema wako wa jana anakumbuka cha sasa 🤪Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Huyu anaogaje kuna vitu ukiviona unaweza staajabu
Umesomeka afande, kabla mambo hayajawa mazito
Hapana ajiue mwenyewe Kwa ukarimu wakeMwenzio kaenda kujisalimisha police Dodoma
We oa tu, mwanamke anaweza kukuigizia kukupenda ukadhani umeokota dodo kumbe mwenzako anacheza script.Ni KWELI aliyekupenda anaweza kuja kukuacha in the future there is a possibility/chance. At the END*
ILA asiyekupenda tayari ameshakuacha ,tayari alishakuacha hakuwahi kukupenda from the begining,from the start.
IF YOU HAY TO BEG SOME ONE TO BE/STAY IN YOUR LIFE SHE DOESN'T BELONG THERE FROM THE BEGINNING/FROM THE START
if you have to choose between the two evils,choose the lesser evil.
Pamoja na hayo yote ,,MEME STILL I WILL GO WITH ONLY OPTION
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Kosa kubwa ni kumlipia kodi ya nyumba , ana uchungu huyo ulitakiwa kumuwezesha kisha ukamtizamia kuona mwenendo wake , ukiona red flag fvck off mapemaDaah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo