Karibu uwanja wa fisi1. Mwonekano wa jiji 2. Watu ni wa aina gani 3. Biashara za mitumba zikoje 4. Hali ya hewa 5. Utapeli na wizi 6. Wanawake nk
kigoma schoolndo wapi huko?
Kaka ako hapoi,Tulia hukohuko ngalo
??Dahh🥹
Itabidi tufanye kikao cha dharura tumkalishe chini tujue shida nini🤔Kaka ako hapoi,
Mumlete pia Dom,hapa hosp maarufu wamcheki kama yupo sawa.Itabidi tufanye kikao cha dharura tumkalishe chini tujue shida nini🤔
Mi Sina ushaurinishauri basi dada yangu,au nifikie kwako basi.
Aisee! Ngoja nishtue wazee tuone tunamsaidiaje ndugu yetu! Maana hali si hali, sio mchana wala usiku🤦🏽♀️Mumlete pia Dom,hapa hosp maarufu wamcheki kama yupo sawa.
JotoHali ya hewa