Mwenzake wa Biharamulo (anaitwa engineer nani nani sijui) alijichanganya kuutetea mkataba huo wa kimangungo kwenye group la WhatsApp la wilaya mwanzoni mwanzoni kabisa baada ya bunge kupitisha kwa kuzigonga meza kisawasawa, kilichomkuta hadi alijiondoa kwenye group lile!
Wana wakamwambia tulikuona na bungeni unatetea huo upuuzi plus kugonga meza na kushangilia, halafu unatuletea hizo na huku? Walimvaa haswa, nadhani hana hamu na jimbo lile!