Tangu sakata la Bandari lianze, waziri mmoja wa Mama Samia (naibu) hajatamka lolote kuutetea wala kuupinga

Tangu sakata la Bandari lianze, waziri mmoja wa Mama Samia (naibu) hajatamka lolote kuutetea wala kuupinga

Hivy givyo imekuwa kwa Mwigulu na January. Umewasikia?

Kwa mawaziri, walioamua kujitoa ufahamu hasa, na kuupigania mkataba huo wa hovyo, ni Nape na Biteko.
Waliokaa kimya ndo wapishi
Wasio na ujuvi wametoka hima hima kutetea wasichokijua
 
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?

jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
Mbona umeshatoa conclusion kwamba aliupigia kura Sasa unataka nini tena? Sauti yake au?
 
Mwenzake wa Biharamulo (anaitwa engineer nani nani sijui) alijichanganya kuutetea mkataba huo wa kimangungo kwenye group la WhatsApp la wilaya mwanzoni mwanzoni kabisa baada ya bunge kupitisha kwa kuzigonga meza kisawasawa, kilichomkuta hadi alijiondoa kwenye group lile!

Wana wakamwambia tulikuona na bungeni unatetea huo upuuzi plus kugonga meza na kushangilia, halafu unatuletea hizo na huku? Walimvaa haswa, nadhani hana hamu na jimbo lile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom