Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Huyo Ndio La Pulga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh we jamaa mweupe sana kwenye sokaView attachment 560442View attachment 560443
Lionel Messi Akiwa na Miaka 30 tayari ameshafikisha magoli zaidi ya 500
Huyo Puskas Mpaka anastaafu alikuwa na Magoli takribani 500 .... Sasa nadhani utakuwa unaelewa who is the best, usidanganyike na tuzo kuitwa majina yao,
Nakusihi tena Lionel Messi ni mchezaji balaa saaaaaana tena mshukuru mungu umebahatika kumshuhudia kiumbe huyu ....
Hivi huyo Puskasi record zake pale real Madrid zikoje mbele ya Cr7
NB: MIAKA HIYO KULIKUWA HAKUNA OFFSIDE
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hivi unaelewa kiinglish kweli wewe, hahaha nimekuwekea snap za messi na puskas kwenye record zao kisoka lakini nakuona umejifanya kipofu.Duh we jamaa mweupe sana kwenye soka
By the tym puskas anacheza soka mechi za la liga zilikuwa chache kuliko ssa
By the tym anacheza world cup na euro kulikuwa na mecho chache kuliko sasa ila aliweza kufunga magoli mengi sana kwenye mechi za kimataifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya mpira
Unasema offside??? Hivi unajua by the tym puskas anacheza soka mwanzo wa miaka ya 50 kulikuwa hakuna
1. Substitution
2. Red card
3. Penalty za baada ya extra time yaani mechi ikidraw inarudiwa kesho yake upyaaaaaaa
Hivi leo uondoe sub,red card, penalty shootout yaani mechi moja ichezwe dakika 210 ndano ya saa 24 huyo messi wenu angewahi funga goli hata moja au sahvi angekuwa ICU anaugulia tackles za pepe na diego godin??!!!
Pili puskas kafunga magoli yanayolingana na mechi alizocheza!!! Yaani mechi 520 goli 510 alafu timu ya taifa mechi 84 goli 85 alafu unamlinganisha messi ambaye so far kacheza mechi nyingi kuliko puskas timu ya taifa ila bado hajakaribia magoli ya puskas ukizingatia argentina imejaa masuperstar wakati hungary ilikuwa imejaa maghalasa angalau winga wao kocsis na kipa wao grosics wengine wote wachovu tu je messi angeweza kuibeba timu chovu kma hungary ya wakati ule ?????
Mkuu uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kumsifia messi pitia video za hawa legends mfano puskas,zico,garrincha,gerd mueller uone vipaji ndio ukimaliza uje kumsifia mtoto wa juzi huyo messi kwa ufupi messi hamkuti hata gheorghe Hagi wa romania ya enzo hizo na kma debate yako ni magoli leo ndio ufaham kuwa messi magoli ya kwe akiyazidisha mara 2 bado hamkuti pele na zico kwa magoli then mnakuja hapa kusifia bila utafiti funny
Mkuu sihitaji snap zako mie nmefuatilia mpira kwa muongo wa pili ssa so najua nachokisemaHivi unaelewa kiinglish kweli wewe, hahaha nimekuwekea snap za messi na puskas kwenye record zao kisoka lakini nakuona umejifanya kipofu.
Narudia tena , Huyo Puskas Mpaka anastafu alifunga magoli 500+ ....
Lionel Messi Mpaka Sasa ana magoli 500+ na bado ana kama miaka mingine saba ya kucheza soka ( Na Jana Katupia hahahaha)
Kubali Kataa La Pulga Ni hatari .... Halafu unajifanya umesahau kuwa Messi Ndio mchezaji wa kwaza duniani kuchukua Ballon D'or 4 hao wakina Puskas sijui walikuwa wapi...
Sent From My Nokia Ya Tochi
HAhahahaa unajitoa ufaham eeeh hujui zico ndio anaongoza kwa kufunga magoli mengi zaidi kwenye calendar year na messi hatowahi fikisha rekodi hyo hta afunge kila mechi kuanzia leo..... embu sacrifice muda kidogo ingia website ya flamingo ukaone mambo makubwa ya heshima aliyoyaacha zico huko sio unakuja kupotosha humu wakati hata utafiti hujawahi fanya and am sure hata haujui walichezea club gani hao wawiliGarincha na Zicco walifanya kipi cha maana kwenye clubs zao mkuu
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hunielewei wewe puskasMkuu sihitaji snap zako mie nmefuatilia mpira kwa muongo wa pili ssa so najua nachokisema
Nmeshakuelezea kma ni magoli puskas is better maana ana average ya kufunga goli moja kila dakka 60 sasa huyo messi mbona ameshacheza mechi nyingi kuliko magoli yake??? Kwa ufupi mechi zote ambazo puskas alianza kwenye first team alifunga je messi anaweza pindua rikodi hyo?????
Kwa ufupi puskas aliwika kwenye timu mbovu ila messi anaweza kweli kuchezea katimu kma watford na kuifikisha kuwa timu kubwa ulaya kma alivyofanya puskas???
Mkuu wwe haufaham mpira kabisa ndio maana unaropoka tu hapa ila kwa wanaofuatilia mpira watanielewa kuwa messi hawezi mfikia
Pele nascimento
Garrincha
Zico
Ferenc Puskas
Just Fontaine
Telmo zarra
MTU kachezea real Madrid unasema ni team ndogo ?? Una akili wewe ???..Mkuu sihitaji snap zako mie nmefuatilia mpira kwa muongo wa pili ssa so najua nachokisema
Nmeshakuelezea kma ni magoli puskas is better maana ana average ya kufunga goli moja kila dakka 60 sasa huyo messi mbona ameshacheza mechi nyingi kuliko magoli yake??? Kwa ufupi mechi zote ambazo puskas alianza kwenye first team alifunga je messi anaweza pindua rikodi hyo?????
Kwa ufupi puskas aliwika kwenye timu mbovu ila messi anaweza kweli kuchezea katimu kma watford na kuifikisha kuwa timu kubwa ulaya kma alivyofanya puskas???
Mkuu wwe haufaham mpira kabisa ndio maana unaropoka tu hapa ila kwa wanaofuatilia mpira watanielewa kuwa messi hawezi mfikia
Pele nascimento
Garrincha
Zico
Ferenc Puskas
Just Fontaine
Telmo zarra
Duh hyo budapest honved aliochezea miaka kumi na mbili na kuipa heshima ulaya nzima ilikuwa timu kubwa ???? Hyo madrid alihamia akishakuwa ametengeneza jina miaka 6 kabla hivyo si kweli kajijenga akiwa madrid hapa unaopotosha tenaView attachment 561191
Hunielewei wewe puskas
MTU kachezea real Madrid unasema ni team ndogo ?? Una akili wewe ???..
Sent From My Nokia Ya Tochi
Nani hakuelewi nmeshasema puskas amefunga mechi zote alizoanza first team je messi ameweza??
Chizi weweNani hakuelewi nmeshasema puskas amefunga mechi zote alizoanza first team je messi ameweza??
Kwa taarifa ako messi kafunga magoli yote hayo sababu mechi zipo nyingi sana kuliko enzi hizo sahvi msimu mmoja mechi za ligi tu almsot 40 bado makombe kibao unakita messi anafikisa mechi zaidi ya 70 ssa unategemea puskas angefungaje magoli mengi zaidi ya yale 500 wakati msimu mmoja mechi hazifiki 30?????
Ambacho hukifaham baada ya vita huko hungary enzi za General tito broz na uvamizi wa wasoviet puskas alikimbia nchi na aliacha kucheza mpira kwa miaka almost 5 hivi angecheza hyo miaka 5 angekuwa na magoli mangapi be honest????
Mkuu fanyaga utafiti sio unaropoka tu huyo messi tukifuta magoli na makombe ya miaka mitano mfululizo iliopita atamkaribia puskas kwa lipi???
Haaahaaa katafiti kijana kuliko kuja kutetea mambo usiyoyafaham si unaona ssa ulivyoishiwa hoja mpaka unatia huruma..... messi ni best in his era ila ukisema ulinganishe na all time legends messi anaweza asiingie hata Top 10 nkupe homework tu kasake biography ya njemba kma fachetti au franza beckanbauer ndio uone kuna watu walizaliwa kwajili ya kucheza soka sio uyo mchora tatooChizi wewe
Sent From My Nokia Ya Tochi
All time kivipi wakati Mwaka 82 alikuwa hajazaliwa? wacha nikupe elimu kila zama na zama zake...Messi is the greatest player of ALL TIME
Haaahaaa katafiti kijana kuliko kuja kutetea mambo usiyoyafaham si unaona ssa ulivyoishiwa hoja mpaka unatia huruma..... messi ni best in his era ila ukisema ulinganishe na all time legends messi anaweza asiingie hata Top 10 nkupe homework tu kasake biography ya njemba kma fachetti au franza beckanbauer ndio uone kuna watu walizaliwa kwajili ya kucheza soka sio uyo mchora tatoo
Duh we jamaa mweupe sana kwenye soka
By the tym puskas anacheza soka mechi za la liga zilikuwa chache kuliko ssa
By the tym anacheza world cup na euro kulikuwa na mecho chache kuliko sasa ila aliweza kufunga magoli mengi sana kwenye mechi za kimataifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya mpira
Unasema offside??? Hivi unajua by the tym puskas anacheza soka mwanzo wa miaka ya 50 kulikuwa hakuna
1. Substitution
2. Red card
3. Penalty za baada ya extra time yaani mechi ikidraw inarudiwa kesho yake upyaaaaaaa
Hivi leo uondoe sub,red card, penalty shootout yaani mechi moja ichezwe dakika 210 ndano ya saa 24 huyo messi wenu angewahi funga goli hata moja au sahvi angekuwa ICU anaugulia tackles za pepe na diego godin??!!!
Pili puskas kafunga magoli yanayolingana na mechi alizocheza!!! Yaani mechi 520 goli 510 alafu timu ya taifa mechi 84 goli 85 alafu unamlinganisha messi ambaye so far kacheza mechi nyingi kuliko puskas timu ya taifa ila bado hajakaribia magoli ya puskas ukizingatia argentina imejaa masuperstar wakati hungary ilikuwa imejaa maghalasa angalau winga wao kocsis na kipa wao grosics wengine wote wachovu tu je messi angeweza kuibeba timu chovu kma hungary ya wakati ule ?????
Mkuu uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kumsifia messi pitia video za hawa legends mfano puskas,zico,garrincha,gerd mueller uone vipaji ndio ukimaliza uje kumsifia mtoto wa juzi huyo messi kwa ufupi messi hamkuti hata gheorghe Hagi wa romania ya enzo hizo na kma debate yako ni magoli leo ndio ufaham kuwa messi magoli ya kwe akiyazidisha mara 2 bado hamkuti pele na zico kwa magoli then mnakuja hapa kusifia bila utafiti funny
Kama kuuchezea mpira ni Ronadinho ndio the best ever...
Na kwako pia, ni mawazo yako mkuu.Hayo ni mawazo yako mkuu. Kwenye kuuchezea mpira bwana King Messi and Diego,,,,hawa wiwili weka mbali na takataka.kwa mbali anafuatia Babu Zinedine zizo. Huyu mwarabu namheshimu mno.
Mess ni kiumbe wa ajabu sana
Qaluu lamnakuminal musswalliin
HakikaYap. Messi ni kiumbe wa ajabu mnoo. tangia soka lianze hakuna wa kariba yake na hatatokea kamwe.