Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Mkuu sihitaji snap zako mie nmefuatilia mpira kwa muongo wa pili ssa so najua nachokisema

Nmeshakuelezea kma ni magoli puskas is better maana ana average ya kufunga goli moja kila dakka 60 sasa huyo messi mbona ameshacheza mechi nyingi kuliko magoli yake??? Kwa ufupi mechi zote ambazo puskas alianza kwenye first team alifunga je messi anaweza pindua rikodi hyo?????

Kwa ufupi puskas aliwika kwenye timu mbovu ila messi anaweza kweli kuchezea katimu kma watford na kuifikisha kuwa timu kubwa ulaya kma alivyofanya puskas???

Mkuu wwe haufaham mpira kabisa ndio maana unaropoka tu hapa ila kwa wanaofuatilia mpira watanielewa kuwa messi hawezi mfikia

Pele nascimento
Garrincha
Zico
Ferenc Puskas
Just Fontaine
Telmo zarra
Jamaa Angu unabishana Na Maiti? Nimekuelewa sana ulivyofanya uchambuzi wako pokea likes 1000
 
Nani hakuelewi nmeshasema puskas amefunga mechi zote alizoanza first team je messi ameweza??

Kwa taarifa ako messi kafunga magoli yote hayo sababu mechi zipo nyingi sana kuliko enzi hizo sahvi msimu mmoja mechi za ligi tu almsot 40 bado makombe kibao unakita messi anafikisa mechi zaidi ya 70 ssa unategemea puskas angefungaje magoli mengi zaidi ya yale 500 wakati msimu mmoja mechi hazifiki 30?????

Ambacho hukifaham baada ya vita huko hungary enzi za General tito broz na uvamizi wa wasoviet puskas alikimbia nchi na aliacha kucheza mpira kwa miaka almost 5 hivi angecheza hyo miaka 5 angekuwa na magoli mangapi be honest????

Mkuu fanyaga utafiti sio unaropoka tu huyo messi tukifuta magoli na makombe ya miaka mitano mfululizo iliopita atamkaribia puskas kwa lipi???
Kula likes buku mkuu
 
Haaahaaa katafiti kijana kuliko kuja kutetea mambo usiyoyafaham si unaona ssa ulivyoishiwa hoja mpaka unatia huruma..... messi ni best in his era ila ukisema ulinganishe na all time legends messi anaweza asiingie hata Top 10 nkupe homework tu kasake biography ya njemba kma fachetti au franza beckanbauer ndio uone kuna watu walizaliwa kwajili ya kucheza soka sio uyo mchora tatoo
Jamaa ulivyomwambia akafanye utafiti ameishia kukutukana.Ukiwa mweupe kichwani lazima utukane tu
 
*RONALDO and MESSI STATS!*
.
*Ronaldo with Portugal*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assist Ronaldo
-portugal best player Ronaldo
*Messi with Argentina*
-all time scorer messi
-all time assists Messi
-Argentina best player Maradona
*CLUB*
*Ronaldo with Real Madrid*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assists Ronaldo
-most freekick goals in R madrid Ronaldo
-most hatrick Ronaldo
-most penalties goals Ronaldo
.
*Messi with Barcelona*
-all time goals scorer Messi
-all time assist Messi
-most freekick Ronaldinho
-most hatrick Messi
-most penalties goals Messi
.
*Ronaldo and Messi in Laliga*
-most goals Messi
-most assists Messi
-most penalties goals Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most hatricks Ronaldo
-most header goals Ronaldo
-most goals outside the box Ronaldo
-most away goals Ronaldo
.
*Ronaldo and Messi in Uefa champions league*
-most goals Ronaldo
-most assist Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most penalties Ronaldo
-most hatrick Messi
-most header goals Ronaldo
-most away goals Ronaldo
-most goals in single season Ronaldo
-most goals in semi final Ronaldo
-most goals in knockout stage Ronaldo
-most goals in group stage Ronaldo
-most goals in UCL calendar Ronaldo
Is messi the Best player in the world or best player in
Barcelona? Oops honest opinion Ronaldo just simply the best

Ronaldo & Messi vs best goalkeepers

*CRISTIANO RONALDO*
1 - Neuer (6 matches 9 goals)
2 - Buffon (5 matches 7 goals)
3 - Cech (9 matches 6 goals)
4 - Courtois ( 10 matches 12 goals)

MESSI :

1 - Neuer (5 matches 2 goals)
2 - Buffon (6 matches 0 goals)
3 - Cech (10 matches 2 goals)
4 - Courtois (10 matches 6 goals)

*Its just for laughs. No one should take it personal*

Sent using Jamii Forums mobile app
Of all those stats show me some where with 91 goals in one year calendar.
[emoji14]
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5a01a9fd1b3ba5fb28af2084716db645.jpg
you call cr7 the great?? ahaahahah,some jokes are indispensable in life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu zitto kabwe! Unawezaje kusema Mfalme anaweza asiingie hata top 10 ya all time legends? Unajiamini vipi kuongea ivyo? Messi yupi unamuongelea?? Wa kwetu hapa bongo?? Dunia nzima inamtambua Messi ni kiumbe kuwahi kutokea since soka lianze kuchezwa,,,,sasa wewe kama nani mkuu unasema hivyo???
dunia nzima ipi?? sema msiofuatilia historia au watoto wa juzi ndio watasema messi is the best ever ila wanaojua mpira hawawezi support uongo huo nishasema messi ni bora kwa wakati wake yaani 2007-2017 hilo halina mjadala ila kusema all time ni uongo hivi messi anamuweza just fontaine??? embu tuweni serious kidogo kma umefutilia classic football 1950-90 niambie messi anamfikia nani kati ya hawa
1.pele
2.maradona
3.ferenc puscas
4. garrincha
5.zico
6. kocsis
7. telmo zarra
8 tostao
9 grzegorsz lato
10 Didi

be honest anamfikia nani hapo??? kma hujawahi hta kuwasikia basi ujue una haki ya kumsifi messi

huyo puskas kwangu ndio best ever yaani mechi 520 goli 520 ukizingatia akiwa na umri kma 26 alistaafu soka akarudi baada ya miaka 6 na akawa bado katika ubora wake hivi je angecheza hyo miaka 6 ingekuwaje sahivi?????

kuna kipa wao hungary anaitwa hidegkuti kma sijakosea mwaka 1954 ujerumani alikuwa anacheza zaidi ya namba 6 kwa mpigo yaani kuna mechi walizidiwa ikabidi aingie kama beki na akamudu bado akacheza kma mshambuliaji na akamudu then ndio mseme messi???

hayo ni matusi saa kwenye ulimwengu wa soka
 
Tena Mshukuruni mno king Messi kutokuwa mbinafsi..otherwise mpaka hivi sasa tunaongea angelikuwa na magoli sio chini ya 800. Pale Barcelona kawabeba players wengi tu,,,mmoajawao Neimar, huyu dogo alikuwa hana bahati ya kuscore pale Barcelona mpaka aibu,,,Messi akawa anampa anafunga, mapenalt kibao anamwachia afunge,,,,ukija kwa Suarez hivyo hivyo,,,iniesta hivyo hivyo. Ndio uzuri wa king Messi sio mbinafc.
mkuu fanya utafiti acha ushabiki kma magoli ni kipimo ndio ujue hakuna best scorer kma puskas maana ni mchezaji pekee ambaye mechi zake alizocheza zinalingana na magoli!!!!! ukizingatia alikaa nje ya uwanja kwa miaka 6 ina maana kma asingestaafu kisa vita puskas angekuwa na magoli zaidi ya elfu 1 ndio maana tuzo ya goli bora imepewa jina la PUSKAS kumuenzi gwiji yule afu nyie mnampamba huyo mchora tatoo!!!

enzi hizo la liga mechi 20 jamaa anatoka na goli kma 30 sembuse leo hii msimu moja messi anacheza game 70???? shida wengi humu mmeanza fuatilia mpira juzi tu mnakuja na mihemko messi hawezi mkuta hata beckanbeur aliyevunjwa mguu akacheza na mguu mmoja unavuja damu umefungwa ogo mkononi na wakashinda world cup au gunter metzer anacheza dakka 90 anachechemea na aliingia akiwa na magongo akayatupa akazama uwajani akapig goli bado anachechemea wakashinda UEFA na moechngladbach miaka ya 80 ndio xembuse messi!!!!???

kuweni na heshima vijana kwa legends wa soka acheni mihemko na ushabiki
 
Ronadinyo,Okocha na zidane wamemzidi messi mbali sana.
 
Maradona alipimwa mkojo Itaty akagundulika kutumia madawa yakuongeza nguvu,kwahiyo huwezileta rekodi yoyote yakujivunia
 
Back
Top Bottom