Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Duh we jamaa mweupe sana kwenye soka

By the tym puskas anacheza soka mechi za la liga zilikuwa chache kuliko ssa

By the tym anacheza world cup na euro kulikuwa na mecho chache kuliko sasa ila aliweza kufunga magoli mengi sana kwenye mechi za kimataifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya mpira

Unasema offside??? Hivi unajua by the tym puskas anacheza soka mwanzo wa miaka ya 50 kulikuwa hakuna
1. Substitution
2. Red card
3. Penalty za baada ya extra time yaani mechi ikidraw inarudiwa kesho yake upyaaaaaaa

Hivi leo uondoe sub,red card, penalty shootout yaani mechi moja ichezwe dakika 210 ndano ya saa 24 huyo messi wenu angewahi funga goli hata moja au sahvi angekuwa ICU anaugulia tackles za pepe na diego godin??!!!

Pili puskas kafunga magoli yanayolingana na mechi alizocheza!!! Yaani mechi 520 goli 510 alafu timu ya taifa mechi 84 goli 85 alafu unamlinganisha messi ambaye so far kacheza mechi nyingi kuliko puskas timu ya taifa ila bado hajakaribia magoli ya puskas ukizingatia argentina imejaa masuperstar wakati hungary ilikuwa imejaa maghalasa angalau winga wao kocsis na kipa wao grosics wengine wote wachovu tu je messi angeweza kuibeba timu chovu kma hungary ya wakati ule ?????

Mkuu uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kumsifia messi pitia video za hawa legends mfano puskas,zico,garrincha,gerd mueller uone vipaji ndio ukimaliza uje kumsifia mtoto wa juzi huyo messi kwa ufupi messi hamkuti hata gheorghe Hagi wa romania ya enzo hizo na kma debate yako ni magoli leo ndio ufaham kuwa messi magoli ya kwe akiyazidisha mara 2 bado hamkuti pele na zico kwa magoli then mnakuja hapa kusifia bila utafiti funny
 
Hivi unaelewa kiinglish kweli wewe, hahaha nimekuwekea snap za messi na puskas kwenye record zao kisoka lakini nakuona umejifanya kipofu.


Narudia tena , Huyo Puskas Mpaka anastafu alifunga magoli 500+ ....

Lionel Messi Mpaka Sasa ana magoli 500+ na bado ana kama miaka mingine saba ya kucheza soka ( Na Jana Katupia hahahaha)


Kubali Kataa La Pulga Ni hatari .... Halafu unajifanya umesahau kuwa Messi Ndio mchezaji wa kwaza duniani kuchukua Ballon D'or 4 hao wakina Puskas sijui walikuwa wapi...



Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Garincha na Zicco walifanya kipi cha maana kwenye clubs zao mkuu

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Mkuu sihitaji snap zako mie nmefuatilia mpira kwa muongo wa pili ssa so najua nachokisema

Nmeshakuelezea kma ni magoli puskas is better maana ana average ya kufunga goli moja kila dakka 60 sasa huyo messi mbona ameshacheza mechi nyingi kuliko magoli yake??? Kwa ufupi mechi zote ambazo puskas alianza kwenye first team alifunga je messi anaweza pindua rikodi hyo?????

Kwa ufupi puskas aliwika kwenye timu mbovu ila messi anaweza kweli kuchezea katimu kma watford na kuifikisha kuwa timu kubwa ulaya kma alivyofanya puskas???

Mkuu wwe haufaham mpira kabisa ndio maana unaropoka tu hapa ila kwa wanaofuatilia mpira watanielewa kuwa messi hawezi mfikia

Pele nascimento
Garrincha
Zico
Ferenc Puskas
Just Fontaine
Telmo zarra
 
Garincha na Zicco walifanya kipi cha maana kwenye clubs zao mkuu

Sent From My Nokia Ya Tochi
HAhahahaa unajitoa ufaham eeeh hujui zico ndio anaongoza kwa kufunga magoli mengi zaidi kwenye calendar year na messi hatowahi fikisha rekodi hyo hta afunge kila mechi kuanzia leo..... embu sacrifice muda kidogo ingia website ya flamingo ukaone mambo makubwa ya heshima aliyoyaacha zico huko sio unakuja kupotosha humu wakati hata utafiti hujawahi fanya and am sure hata haujui walichezea club gani hao wawili
 
Hunielewei wewe puskas
MTU kachezea real Madrid unasema ni team ndogo ?? Una akili wewe ???..

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
View attachment 561191
Hunielewei wewe puskas

MTU kachezea real Madrid unasema ni team ndogo ?? Una akili wewe ???..

Sent From My Nokia Ya Tochi
Duh hyo budapest honved aliochezea miaka kumi na mbili na kuipa heshima ulaya nzima ilikuwa timu kubwa ???? Hyo madrid alihamia akishakuwa ametengeneza jina miaka 6 kabla hivyo si kweli kajijenga akiwa madrid hapa unaopotosha tena
 
View attachment 561191
Hunielewei wewe puskas

Sent From My Nokia Ya Tochi
Nani hakuelewi nmeshasema puskas amefunga mechi zote alizoanza first team je messi ameweza??

Kwa taarifa ako messi kafunga magoli yote hayo sababu mechi zipo nyingi sana kuliko enzi hizo sahvi msimu mmoja mechi za ligi tu almsot 40 bado makombe kibao unakita messi anafikisa mechi zaidi ya 70 ssa unategemea puskas angefungaje magoli mengi zaidi ya yale 500 wakati msimu mmoja mechi hazifiki 30?????

Ambacho hukifaham baada ya vita huko hungary enzi za General tito broz na uvamizi wa wasoviet puskas alikimbia nchi na aliacha kucheza mpira kwa miaka almost 5 hivi angecheza hyo miaka 5 angekuwa na magoli mangapi be honest????

Mkuu fanyaga utafiti sio unaropoka tu huyo messi tukifuta magoli na makombe ya miaka mitano mfululizo iliopita atamkaribia puskas kwa lipi???
 
Chizi wewe

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Chizi wewe

Sent From My Nokia Ya Tochi
Haaahaaa katafiti kijana kuliko kuja kutetea mambo usiyoyafaham si unaona ssa ulivyoishiwa hoja mpaka unatia huruma..... messi ni best in his era ila ukisema ulinganishe na all time legends messi anaweza asiingie hata Top 10 nkupe homework tu kasake biography ya njemba kma fachetti au franza beckanbauer ndio uone kuna watu walizaliwa kwajili ya kucheza soka sio uyo mchora tatoo
 
Striker/Midfielder
1.Messi
2.Gaucho
3.Maradona
4.C.Ronaldo
5.Zidane
6.Ronaldo de Lima
7..Kaka
8. Rivaldo
9. Figo
10. Pirlo
11. Arjen Robben
12. Beckham
13. T. Hendry
14. Shearer
15. Van Nilsterooy
16. Djorkaeff
17. M. Owen
18. Johan cruyff
19. Raul Gonzalez
20. Eric Cantona
21. Redondo
22. Giggs
23. Seedorf
24. Bergkamp
25. Scholes
26. Valderrama


Defender
1. Cannavaro
2. Roberto carlos
3. Danny alves
4. Puyol
5. Cavalho
6. P. Maldini
6. Walter samuel
7. Fernando Hierro
8. Samwel Kuffour
9. Jaap stam
10. Rio Ferdinand
11. Sol Campbell
11. Marcel Dessaily
12. Jonny Evans
13. Martin Keown
14. N. Vidic
15. Lilian Thuram
16. Salgado

Goal keepers.
1. Benard Lama
2. Pagliuca
3. F. Toldo
4. Neuer
5. De Gea
6. Buffon
7. Van De Sar
8. Cassilas
9. Dino Zoff
10. P. Schmeichel
11. Oliver Kahn
12. David Seaman
13. Chilavert
 
Messi is the greatest player of ALL TIME
All time kivipi wakati Mwaka 82 alikuwa hajazaliwa? wacha nikupe elimu kila zama na zama zake...

Kulikuwa na Jitu likiitwa Goliath likapigwa na Dogo aliyeitwa David ila Goliath angekuwepo enzi hizi angekula Shaba moja na ffu wetu mmoja mfupi na angebakia Historia... so Pele na Zama zake,Maradona na Zama zake, Zidane na zama zake,Shearer na Zama zake na uwezo wake,Nteze John na Zama zake,Juma Amiry Pele wa Mwanza na Zama zake... so ukileta wa all time Bado Pele ndie anajulikana ni Mfalme... pia Kumbuka Enzi za zamani viwanja pia vilikuwa tofauti haswa pitch zamani watu waliumia kwa kuanguka siku hizi mtu anaanguka haumii so haogopi kuanguka so anacheza kwa raha zake na kuna wengine hupenda kuanguka anguka kama Alhadji Diof
 

Mkuu zitto kabwe! Unawezaje kusema Mfalme anaweza asiingie hata top 10 ya all time legends? Unajiamini vipi kuongea ivyo? Messi yupi unamuongelea?? Wa kwetu hapa bongo?? Dunia nzima inamtambua Messi ni kiumbe kuwahi kutokea since soka lianze kuchezwa,,,,sasa wewe kama nani mkuu unasema hivyo???
 

Tena Mshukuruni mno king Messi kutokuwa mbinafsi..otherwise mpaka hivi sasa tunaongea angelikuwa na magoli sio chini ya 800. Pale Barcelona kawabeba players wengi tu,,,mmojawao Neimar, huyu dogo alikuwa hana bahati ya kuscore pale Barcelona mpaka aibu,,,Messi akawa anampa anafunga, mapenalt kibao anamwachia afunge,,,,ukija kwa Suarez hivyo hivyo,,,iniesta hivyo hivyo. Ndio uzuri wa king Messi sio mbinafc.
 
Kama kuuchezea mpira ni Ronadinho ndio the best ever...

Hayo ni mawazo yako mkuu. Kwenye kuuchezea mpira bwana King Messi and Diego,,,,hawa wiwili weka mbali na takataka.kwa mbali anafuatia Babu Zinedine zizo. Huyu mwarabu namheshimu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…