Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Nina doubt na uwezo wako wa kuchambua soka so kwa hyo clip ndio uwezo pekee w a messi huo...?

Ni kweli messi ni mjukuu wake kwa umri lakin kisoka siwezi judge uwezo wake tokana na kwamba sijamuona

Usimshambulie shaffy dauda et anampamba Messi...yye anasema kinachosemwa na pundits,proffessionals wa soka kuhusu messi.

Unaendeshwa na hisia mbaya kuhusu Messi(y Messi always)
Relax watch the game then utaelewa wanachokisema Wengi wao(i mean proffessionals) na sio shaffy kama unavofikir.
Thanks
 
messi huyu alokuwa na ballon d or 5 ronaldo ana 3 afu akamfikia? messi alokuwa na goli 9 uefa ronaldo ana 2 then ronaldo akampita kwa goli 11 kwa 9?, messi huyu ambaye pamoja na kuwa na kikosi booora kabisa cha argentina kakosa copa america mara mbili mbele ya chile? messi huyu ambaye pamoja na kuwa na kikosi boooora kabisa cha argentina alikosa kombe la dunia?,messi huyu ambaye tangu kaanza mpira kakomaa na barcelona tu na hatujawahi ona uwezo wake katika mazingira mengine tofauti?...acha upuuzi wewe zungumzia maradona,pele na wengineo siyo huyo mbilikimo mbovu klab inambeba
 
Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani....kila mchezaji anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale. Best player in all generation.
 
We jamaa bhana....
Sasa Argentina ile ilikua timu au mkusanyiko wa mastaa?!?!
Unataka umwone kwenye mazingira gani tofauti wakati champions league yupo na kazinyanyasa timu za ligi kubwa mbali mbali.
Kua mtu wa mpira bhana.
 
Wafuata mkumbo hawa mkuu wasikuumishe kichwa, si ajabu hapo yupo kwenye kahawa wanadanganyana😀😀
 
Wewe ni ushabiki au nini? Ronaldo Ana skills gani za kumzidi Messi?
 
Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani....kila mchezaji anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale. Best player in all generation.
Ingekuwa hvyo angebeba ballondor miaka yote mbona kafikiwa na Ronaldo
 
We jamaa bhana....
Sasa Argentina ile ilikua timu au mkusanyiko wa mastaa?!?!
Unataka umwone kwenye mazingira gani tofauti wakati champions league yupo na kazinyanyasa timu za ligi kubwa mbali mbali.
Kua mtu wa mpira bhana.
kajifunze mpira njoo boss...messi kawahi kucheza timu tofauti na barca?...kwangu kwa kigezo hiko hata suarez n bora kwangu kuliko yeye..mchezaji wa ligi moja,timu moja miaka yote anaogopa changamoto mpya atoke barca imetosha sasa..tukaone huko kwingine makali ni hayohayo? au ndo akina shevchenko?
 
Hoja ya kitoto hii.
 
Hoja ya kitoto hii.
jibu hoja kuonesha utoto wa hoja hii...kwangu mchezaji wa ligi moja na timu moja anakosa sifa za kuwa namna unavyotaka tuamini MESSI anazo..usipanik toa hoja na MCHEZAJI WAKO MBOVU ANAYEBEBWA NA TIMU.
 
eti argentina siyo timu ni kikundi cha mastaa mastaa hao wa nini wa FILAMU au?, yote unataka kumtetea mbilikimo?.. argentina bonge la timu ila messi na huo ubora unaotaka kutuaminisha anao kakosa copa america mara mbili na kombe la dunia juu pumbav...tunajua na tunafatilia mpira messi anan'gaa na BARCELONA tu na si kwingine.
 
jibu hoja kuonesha utoto wa hoja hii...kwangu mchezaji wa ligi moja na timu moja anakosa sifa za kuwa namna unavyotaka tuamini MESSI anazo..usipanik toa hoja na MCHEZAJI WAKO MBOVU ANAYEBEBWA NA TIMU.
Siwezi kupaniki kisa unatoa hoja mfu...
Messi haihataji Kubadili team kuonyesha yeye ni bora...
For the last decade Messi amekua standout player wa Barca na dunia kwa ujumla.
Messi habebwi na Barca rather Messi ndio anaibeba barca angalia stats zinavyosema.
Messi kakutana na wachezaji wa kila ligi na still 99% ameperform dhidi yao mind you wachezaji hao wametoka ligi zinazo aminika ni ngumu... Kakutana na man zote mbili, Arsenal, Bayern, Milan zote mbili, Juve etc we unataka ahame timu ili iweje na ameshaprove uwezo wake kwenye michuano mikubwa kama ligi ya mabingwa!
Hebu jaribu kudiscuss mpira in a wider perspective sio kisa humpendi Messi basi unaishia kum discredit.
 
Poa Messi hajui mpira...
 
Ungeuliza tangu soka lianze kuna mtu ashawai fikia skills level za baba ake messi the greatest and God of football Ronaldihno Gaucho??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…