Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu hawawezi kua serious mkuu. Sijajua mpira wanaungalia vipi

πŸ˜€πŸ˜€Mkuu tatizo wengi wanapenda kuhadithiwa na hili ndiyo tatizo ,, mtu akiambiwa gaucho hatari bhana hakuna kama yeye, basi ataamini na atashikilia hilo neno bila hata ya kuthibitisha yeye, hapo anakuwa hana time tena ya kuwafatilia wachezaji wengine...
 
Kwani wewe umeonesha evidence gani kuwa hao maradona na messi ni bora zaidi ya mahaba uliyonayo kwa wawili hao?

Bora hata maradona alikuwa na uwezo binafsi, lkn Messi uwezo binafsi hana. Ukimleta taifa stars akiwa peke yake tutadundwa tu. Maradona kazi anaiweza peke yake kama ilivyo kwa CR7.

Ukizungumzia ufundi Gaucho ni habari nyingine. Umemsikia nani ametengua kiuno cha mtu kwa hadaa tu ya mchezo? Kamwulize Beckam atakwambia alichokutana nacho uwanjani wkt akigombea mpira na Gaucho.
 
Messi: God has sent me to teach this generation how to play football.

C.Ronaldo: No man,I am the one who is sent.

Gaucho: I have n't sent anyone.
Gaucho!!![emoji15] seriously??? For me Dinho hamfikii hata Zidane, and he is not even close to him. Juzi tu hapa Ronaldo(the real Ronaldo, not Cr7) alisema bila kupepesa macho kua Zidane is the best player he has ever played with. Mind you, Ronaldo kacheza na wote, Gaucho na Zizou
 
Ni kweli unachokisema mkuu, hilo ndo tatizo. For me sitathubutu hata kumfananisha Gaucho na mtu kama Zinedine Zidane, Zizou
 
haka kamaradona kamechukua kombe la dunia kwa msaada wa mkono ktk mchezo wa mpira wa miguu
 
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england
 
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england
huyo messi anachojua ni chenga ya 'cone' na kufunga,mwangalie vizuri maradona,de lima na gaucho uone wanachoufanya mpira
 
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england

πŸ˜›Shabiki mandazi huwa hamkosekani humu...haya bhana sio mbaya kujifurahisha, ndivyo tulivyo binaadamu japo tunatofautiana....kiuhalisia unazidi kuumia ndani kwa ndani unaposikia na kushuhudia kuwa maradona hafananishwi na mchezaji yeyote hapa ulimwenguni except King 10s Alone ambaye ndiye mrithi wake, ukiangalia vitu vingi wamefanana wakiwa uwanjani mpaka goli la mkono pia messi kishaleta....angalia video hii then uje na feedback

SIMILAR GOALS
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=http://m.youtube.com/watch?v=lqTsB04M0eE&ved=0ahUKEwjm5YPf4sfMAhUKshQKHUP3BAEQuAIIHDAA&usg=AFQjCNHX7xo8c0cHDWoazuuW9iLykSDRZw&sig2=NvLvlo1KVLppEy88iJtaGA
 
huyo messi anachojua ni chenga ya 'cone' na kufunga,mwangalie vizuri maradona,de lima na gaucho uone wanachoufanya mpira

Messi mwache kama alivyo hafananishwi na player yeyote huo ndio ukweli halisi

Maradona weka mbali na wawili hao gaucho na ronaldo, maana hata robo yake still kufikia..kama hujui soccer ni bora ukauke tu, maradona?maradona? maradona? Unampanga meza moja na gaucho, ronaldo 9? Ni kumdhalilisha sana...katika life yangu sijapata kuona player yeyote yule kawachambua mabeki 4-6 kisha aka-score except DIEGO ARMANDO MARADONA D10S & LEONEL ANDRES MESSI L10S

There is no comparison – Mardonna full stop. I would go so far as to say there will never ever be another player who would come close to him except LEO10S Alone
 
Ni kweli unachokisema mkuu, hilo ndo tatizo. For me sitathubutu hata kumfananisha Gaucho na mtu kama Zinedine Zidane, Zizou

Mkuu tatizo humu mashabiki mandazi wamejaa, Zinedine alikuwa balaa mpaka anastaafu soccer bado anaweza, gaucho,de lima,batistuta bado sana kufikia uwezo wa zidane....mchezaji ambaye alinivutia sana na ndiye alifananishwa sana na zidane ktk ubora wake ni Requelme was Attaking midfielder, huyu jamaa alikuwa balaa timu kubwa zilikuwa zinamuhitaji ulaya, mashabiki wa Boca juniors waliandamana kuzuia mchezaji huyu asiondoke Boca...in-short alidhulumiwa sana tu huyu jamaa...mshuhudie alipokua timu ya taifa,Villareal,boca,Argentinos juniors,barcelona nk. hicho ni kipande kifupi tu jionee,

 
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›We jamaa unanifanya nicheke tu,timu alizochezea hizo hapo! unafikiri pele huyu au mchezaji yeyote unayemfikiria?

1976–1981 Argentinos Juniors
1981–1982 Boca Juniors
1982–1984 Barcelona
1984–1991 Napoli
1992–1993 Sevilla
1993–1994 Newell's Old Boys
1995–1997 BocaJuniors

Ingia youtube ujionee, usipende kuhadithiwa
 


Kamanda I've seen his video man is too overwhelming,
 

Nikweri kamanda ata mimi sijawai shuhudia mchezaji kawapita difensi wa4-6! iz diego and messiah alone
 

you're ignored hujui chochote
 
Kama unaongelea kufunga na kuchukua vikombe,kweli messi ni zaidi ila kama unaongelea MCHEZAJI MPIRA,GAUCHO kwa karne hii ya 21 mpaka sasa ni hakunaga,nenda heirlj channel pale YouTube,utakuta habari zao wote wawili halafu uje tena hapa, kwA pele na maradona ,yeyote Kati Yao anaweza kuwa mkali maana pele nae alikuwa mkatili uwanjani si kidogo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…