Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Mess hana lolote ubebwa tu na wachezaj wenzake nandomaana aamag timu Kwa kujua ataumbuka,na km issue ni kuuchezea mpila si kuscore bas wababe ni Zidane ,Zizou na JJ Okocha na km ni kuscore bas mchawi ni Christian Ronado kwan namba anayo cheza na jins anavopachika mabao ni mtu ambae itachukua mda kuvunja rekod yake kwan hao akina mess na wengineo kufuatana na namba wanazocheza yawabid wafunge magoli,tofaut na Christian Ronado ambae no yake ni tofaut na za hao wengine.
 

ni vema umeomba radhi apology accepted,maisha yaendelee

bado unapaswa kujifunza kujibu hoja iliyopo mezani,wewe unatoa irrelevant facts,ndio ni facts lakini hazihusiani na ulichoulizwa,nimekuambia hako ka Maradona kako kanakumbukwa kwa mechi ngapi au matukio mangapi??chukua mtu yoyote muulize unamkumbuka Maradona kwa lipi sana sana atakuambia goli la mkono na kupiga chenga defence ya kiingereza!at Barcelona Maradona hakumbukwi kwa lolote,Hugo sanchez is a greater player by far compared to Maradona in Barca jerseys!!huko sehemu nyingine kacheza kwa viwango vya kawaida tu,ni kama greateness ya Gaucho inakumbukwa akiwa barcelona tu japo kacheza na sehemu nyngine!!

Twende kwa Messi sasa kaka,Messi has been tearing apart defences for years and years,almost every weekend,Messi hakumbukwi kuwa ktk kiwango cha chini may be for some few games...five times Ballon d'or Winner!!Messi amefanya hivyo katika wakati ambao kiwango kikubwa zaidi ktk soka kinachezwa ktk level ya club tofauti na zamani soka bora ilikuwa ktk kombe la dunia!Amefanya hivyo soka bora zaidi ikichezwa ulaya aliko yeye na kachukua uefa champions league mara 4!!amefanya hivyo soka bora zaidi likichezwa hispania alipo yeye na anatesa huko vilivyo,amefanya hivyo soka bora zaidi duniani likichezwa na Barcelona ambapo yeye ni mfalme!!ka maradona kako kangefanya hata nusu ya haya sijui ungempa sifa gani.

Twende kwa Pele,sitaki kupoteza muda kuelezea sifa zake,nakuambia tu kwa ufupi,wakati ka maradona kako kaliotea kombe la dunia kwa kufunga goli kwa mkono,Pele the greatest alichukua mara 3 kombe la dunia!!hakuna binadamu aliyewahi kufanya hivyo na dalili zinaonyesha hatawahi kutokea tena binadamu wa kuchukua kombe la dunia mara 3.

haya sasa kaelezee hako ka maradona kako kanakumbukwa kwa lipi halafu ufananishe na hao hapo juu!!
 


Duh maneno meengi utafikiri historia ya HITLER, kubali tu hujui mpira ndugu bali unamjua pele! Ndio maana jamaa hapo juu kakupuuza, maana unaongea vitu visivyoeleweka! Kama ni makombe hata pasarella argentinean man alibeba mawili mwaka 78 na 86 wakati wa Diego lakini sio kwamba eti alikua ndiye bora zaidi ya DIEGO.

kwaiyo kuwa na makombe mengi sio sababu ya kumzidi GENUINE PHENOMENON DIEGO10S...

(Maradona's exceptional vision, passing, ballcontrol, dribbling skills, speed, reflexes and thinking time was combined with his small size, giving him a low center of gravity which allowed him to be more maneuverable than most other football players; he would often dribble past multiple opposing players on a run. Hispresence on the pitch had a great effect on his team's general performance, while he would often be singled out by the opposition. A precocious talent, Maradona was given the nickname "El Pibe de Oro" ("The Golden Boy"), a name that stuck with him throughout his career.maelezo haya si yakutoka kwangu bali ni FIFA!!!!)

Then fungua hii link!
FIFA Player of the Century - Wikipedia, the free encyclopedia

japo DIEGO Alipaswa awe namba moja lkn FIFA wakaamua wote wawe sawia,,
huyu mtu huhitaji kuambiwa ndugu ni wewe mwenyewe tu wapaswa ujiongeze.

Fuatilia Argentina national team ujionee

Barce

Boca

Napoli

Sevilla

Newell's Old Boys

ArgentinosJuniors


huyu ndiye "el pibe de Oro"(Golden Boy) hafananishwi na mchezaji yeyote unayemjua hapa ulimwenguni except King Messi
 

mkuu niaje,naona umekurupuka,mwenzako kakimbia sio kama kanipuuza,kashindwa kuelezea anachokumbukwa maradona,nawe pia umeshindwa kuelezea umebaki kutaka nifuatilie,tiririka hapa. Nasisitiza Diego anakumbukwa kwa mechi 2 tu!nipinge kwa hoja kwa kuijibu hoja,ktk club zote he was never the greatest except at Napoli ambapo alitamba tu kama anavyotamba sasa Jamie Vardy at Leicester. Hapo Argentina Junior anatukuzwa tu kwa vile alipita hapo lakini his old good FEW great days hazikuwa hapo!!

Naomba ujibu mwenyewe,ukiingia ktk maktaba ya Barcelona ukaanza kuchambua the greatest waliopitia pale,Maradona utamkuta namba ngapi labda???JIBU HILI KWANZA NDIO UENDELEE NA POROJO ZAKO NYINGINE.

Kingine nataka utambue huna haki ya kuniambia siujui mpira ilhali hunifahamu kabisa.
 


Kama Ke au Me acha dharau kwa wengine,yani unataka anybody akufuate unachokisema... hapa kila mmoja na mawazo yake, alaf pia unasema nimekimbia kuelezea sio kweli, usifikiri wote tunashindia jf kama wewe vile,then tukaacha kibarua....kwanza hoja gani za maana umetoa hadi wadau wakukimbie? Ndio maana nikasema usidharau michango ya wengine ukaona yakwako ipo correct, plz heshimu mawazo ya wengine....

wataalamu wa soka wamesha sema kuwa maradona is the all the time player of the world,unataka maelezo gani zaidi ya haya?

Mpaka huko Argentina mtu akiwa anapanda ghorofani kwenda kwenye ghorofa ya 10 anasema naenda Diego
. Huko Naples Maradona ni kama mungu wao" ni kama mungu mtu..japo mimi The Black P sipendi sipendi kutukuzwa binadamu kihivyo" washabiki duniani kote wanakubali kuwa hajawahi kutokea mchezaji kama yeye na hatatokea, ndio maana wanamshangaa Messi! Lapulga or Atomic flea


Hili ndilo jibu la the Great Diego kuhusu hoja zenu za upigaji kura na kuchukua vikombe vingi kabla kabla soka haijawa kali zaidi....


BUENOS AIRES (AFP) - Argentina coach Diego Maradona on Wednesday put Brazilian legend Pele in his place, insisting the latter was the second best player ever after himself.

A FIFA internet poll in 2000 saw Maradona, who will lead the albiceleste against the five-times world champion Brazilians in a September 5 World Cup qualifier, come out on top and he said on Wednesday that ought to settle the issue.


"What matters is that when the people voted, he came second behind me. Nobody can take that away from me," insisted Maradona, who said the fact he had played with success in European club football, unlike Pele, ought to be the clincher - even if Pele won three World Cup titles to his one.

Maradona told FIFA.com that he believed he deserved the accolade of number one player ever.

"Do you know what? I played in European football for ten years while Pele played in South America. Yes he won World Cups and everything, but playing in Europe is something else entirely," he said.

"Not that that makes me much better than him or anything like that. When I played, the man-markers in Spanish and Italian football were like hunting dogs. They never left me alone," said the Argentine.

Chanzo: http://sports.yahoo.com/sow/news?slug=afp-fblwc2010latamargbrapelemaradona&prov=afp&type=lgns
 
DIEGO MARADONA HAKUNAGA
 

Kabisa mkuu....Tunawajua wote waliopita kuanzia Redondo,Eusebio,Passarella, Pele, De Stafano,Burruchaga.Best mpaka kizazi cha Maradona na mkali kuliko wote ni DIEGO ARMANDO MARADONA FRANCO! Kura zimethibitisha hivyo. Na mambo yake yamethibitisha. Na kama anavyosema, enzi alizokuwa anacheza yeye mabeki walikuwa kama wawindaji wenye mbwa, walikuwa hawamwachii upenyo kabisa. Ila mambo yake yalikuwa mazito ndio maana aliwafungisha tela mabeki wote wa Uingereza mwaka 1986 na kupiga bao kali sana baada ya lile la Mkono wa Diego.ujerumani hawana hamu nae aliwadhalilisha sana,ukienda kule (Italy) Napoli ndio usiseme, nikweli huyu mtu hakunaga.... Mtu ambaye ameweza kumfikia labda ni KING LEONEL MESSI tu..ndio maana wanamshangaa sana Messi..La Pulga or Atomic flea
 
Na wewe acha kutukoroga hapa sasa awe ameqazidi nini?au mnajadili mapenzi yenu kwa wacheza soka tajwa?
 
Mleta mada nadhani hadi sasa hujapata jibu ulilolitegemea! Umeuliza swali la kizushi. Swali la kizushi kwa maana hujatoa vigezo vya ulinganisho
 
Uko sahihi kabisa mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mchezaji bora duniani ambaye dunia kumpata tena ni ndoto ni Ronadino kwa sababu yeye amevunja rule and laws za mpira nani alishawi kumuona mchezaji akiwa uwanjani anacontrol mpira na ustadi mkubwa ule na Messi na Ronaldo mdogo wamevunja records tuu za makombe magoli bt kamwe wanajua wenyewe hawana uwezo Wa burudani ya Ronadhino
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hivi anacheza timu gani huyo zilipendwa na kama angekuwa bora mbona hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango cha juu Ni mchezaj mzur ila sio kwa sifa hzo na mtu yeyote asiyejua mpira lazma amsifie Ronaldinho kama hv
 
Wewe unajua ulisomea chuo gani mpira.tena ukute umetoka kigoma na fuso la dagaa umekwenda vibanda umiza now unajua mpira
 
Wewe unajua ulisomea chuo gani mpira.tena ukute umetoka kigoma na fuso la dagaa umekwenda vibanda umiza now unajua mpira
unafikir kati ya jina PNC[emoji41] na MIDUMARE[emoji15] NGATUNI(kunguni) LIWATO(liwato) ni id gani imetoka KIGOMA kwa gari la dagaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] et kunguni wa maliwato
 
unafikir kati ya jina PNC[emoji41] na MIDUMARE[emoji15] NGATUNI(kunguni) LIWATO(liwato) ni id gani imetoka KIGOMA kwa gari la dagaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] et kunguni wa maliwato


πŸ˜›πŸ˜›Nimegundua wanaomshabikia huyo MAUNO STYLE, hawanaga hoja za maana.wanapenda anavokatika na kuyaangalia matako yake
 
Reactions: PNC
πŸ˜›πŸ˜›Nimegundua wanaomshabikia huyo MAUNO STYLE, hawanaga hoja za maana.wanapenda anavokatika na kuyaangalia matako yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nafikir ni hvo sababu hawanaga hoja za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…