Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

ni vema umeomba radhi apology accepted,maisha yaendelee

bado unapaswa kujifunza kujibu hoja iliyopo mezani,wewe unatoa irrelevant facts,ndio ni facts lakini hazihusiani na ulichoulizwa,nimekuambia hako ka Maradona kako kanakumbukwa kwa mechi ngapi au matukio mangapi??chukua mtu yoyote muulize unamkumbuka Maradona kwa lipi sana sana atakuambia goli la mkono na kupiga chenga defence ya kiingereza!at Barcelona Maradona hakumbukwi kwa lolote,Hugo sanchez is a greater player by far compared to Maradona in Barca jerseys!!huko sehemu nyingine kacheza kwa viwango vya kawaida tu,ni kama greateness ya Gaucho inakumbukwa akiwa barcelona tu japo kacheza na sehemu nyngine!!

Twende kwa Messi sasa kaka,Messi has been tearing apart defences for years and years,almost every weekend,Messi hakumbukwi kuwa ktk kiwango cha chini may be for some few games...five times Ballon d'or Winner!!Messi amefanya hivyo katika wakati ambao kiwango kikubwa zaidi ktk soka kinachezwa ktk level ya club tofauti na zamani soka bora ilikuwa ktk kombe la dunia!Amefanya hivyo soka bora zaidi ikichezwa ulaya aliko yeye na kachukua uefa champions league mara 4!!amefanya hivyo soka bora zaidi likichezwa hispania alipo yeye na anatesa huko vilivyo,amefanya hivyo soka bora zaidi duniani likichezwa na Barcelona ambapo yeye ni mfalme!!ka maradona kako kangefanya hata nusu ya haya sijui ungempa sifa gani.

Twende kwa Pele,sitaki kupoteza muda kuelezea sifa zake,nakuambia tu kwa ufupi,wakati ka maradona kako kaliotea kombe la dunia kwa kufunga goli kwa mkono,Pele the greatest alichukua mara 3 kombe la dunia!!hakuna binadamu aliyewahi kufanya hivyo na dalili zinaonyesha hatawahi kutokea tena binadamu wa kuchukua kombe la dunia mara 3.

haya sasa kaelezee hako ka maradona kako kanakumbukwa kwa lipi halafu ufananishe na hao hapo juu!!
Umesifia weeeee umesahau ka Messi hakana hata World Cup moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nadhani hadi sasa hujapata jibu ulilolitegemea! Umeuliza swali la kizushi. Swali la kizushi kwa maana hujatoa vigezo vya ulinganisho
Ndio maana hajibu hili swali analoulizwa, parameters ni kufunga magoli mengi au skills za mtu? ukifuata hzo huyo Messi wake hana nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gaucho ni burudani, unatamani kila muda mpira ufike kwake ili uone mbwembwe zake. Hata Kocha wa timu pinzani anatamani Gaucho aguse mpira ili aone radhaa.

Kwa Upande wa Messi kocha wa Timu pinzani anatamani Messi aw majeruhi asiwe uwanjani au mpira usimfikie kabisa.

Gaucho mabeki wakipigwa chenga huwa wanacheka tu na kufurahi, Kwa Messi beki akipigwa chenga lazima asikitike maana anajua huko kama Nyavu hazijatikiswa basi ni tuta.
Nnachompendea mwenye mpira wake mnamaanisha Saint Gaucho akifanya jambo hadi washabiki wa timu pinzani wanamshangilia hyo ndio tofauti hasa ya yeye na wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He he he hee mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe,,,,,,,, hao hao wataalamu mkuu wanamtambua Mhuni Diego ndie baba lao after Leonel Mec. Uyo muzee analindwa kutokana na umri wake na kujipendekeza kwa mizungu. Ukitaka mzungu akupende mnyenyekee 2 kama anavyofanya pele.atakupa adi nyumba na kupewa umaarufu.




FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatestfootball player of the 20th century, announced at the annual FIFA World gala, held in Rome on 11 December 2000.[1] Diego Maradona andPele were joint winners of the award.[2][3]Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[2][3]

Since 1991, FIFA have had awards for FIFA World Player of the Year and they decided to bring in the new millennium by conducting a public vote to decide the FIFA Player of the Century. This was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.[4]
Unategemea nn ktk hili, ushauri fufua watu walioona shughuli ya Pele au walioiishi shughuli ya pelle au wanaoufuatilia mpira toka enzi Hata hapa NYUMBA ni. Ebu mpambanishe KICHUYA NA KIBADENI au SUNDAY NA MKUDE au MAHADHI NA DIDA, au SEMBULI NA AJIBU au KITWANA NA TAMBWE ni kutapika mpaka mwaisela
 
Unategemea nn ktk hili, ushauri fufua watu walioona shughuli ya Pele au walioiishi shughuli ya pelle au wanaoufuatilia mpira toka enzi Hata hapa NYUMBA ni. Ebu mpambanishe KICHUYA NA KIBADENI au SUNDAY NA MKUDE au MAHADHI NA DIDA, au SEMBULI NA AJIBU au KITWANA NA TAMBWE ni kutapika mpaka mwaisela

Ataweza wapi kuwafufua wa2 walishakufa, Mwenye huo uwezo ni Mwenyezi Mungu pekee kaka. Kwaiyo Usihangaike na pele. Ingia youtube uone Diego maradona akisakata kandanda safii lenye ladha ya kusisimua. Huyo pele aendelee na kashfa zake kwa waaArgentina. Tangu messi aingie katika soka.pele amekuwa ni mtu mlopokaji mzuri mno kuwahi kutokea.

MESSI THEN DIEGO MARADONA.
 
Ataweza wapi kuwafufua wa2 walishakufa, Mwenye huo uwezo ni Mwenyezi Mungu pekee kaka. Kwaiyo Usihangaike na pele. Ingia youtube uone Diego maradona akisakata kandanda safii lenye ladha ya kusisimua. Huyo pele aendelee na kashfa zake kwa waaArgentina. Tangu messi aingie katika soka.pele amekuwa ni mtu mlopokaji mzuri mno kuwahi kutokea.

MESSI THEN DIEGO MARADONA.
Siku zote ukiona MTU anaingiza majadiliano kwa kumuhusisha Mwenyezi Mungu ujue hana hoja kuna vitu vya majadiliano yahusuyo Mwenyezi Mungu na mengine ni majadiliano ya furaha za kawaida za wanadamu ukiona tu MTU anachanganya mambo ujue kaishiwa hoja kuwa naye makini.
 
Zidane ndio kiboko yao kachukua kla kitu katka club level na international level alf kaprove nje ya uwanja kama coach kwa record ya kuchukua champions league back to back nan ana record hio?
 
Umesifia weeeee umesahau ka Messi hakana hata World Cup moja

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yangu,enzi zenu Nyinyi wahenga soka bora lilikuwa linapigwa ktk ngazi ya timu za taifa hususani world cup hivyo mlikuwa na haki kuwatambua wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio ktk timu za taifa,ndugu yangu Mhenga nyakati hizi soka bora zaidi linapigwa ktk ngazi ya club hususani UEFA Champions League!!hatuhitaji kutumia vigezo vya kihenga kutambua wachezaji bora nyakati hizi za sasa.Hivyo Messi achukue kombe la dunia asichukue atabaki kuwa the greatest of all.
 
*RONALDO and MESSI STATS!*
.
*Ronaldo with Portugal*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assist Ronaldo
-portugal best player Ronaldo
*Messi with Argentina*
-all time scorer messi
-all time assists Messi
-Argentina best player Maradona
*CLUB*
*Ronaldo with Real Madrid*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assists Ronaldo
-most freekick goals in R madrid Ronaldo
-most hatrick Ronaldo
-most penalties goals Ronaldo
.
*Messi with Barcelona*
-all time goals scorer Messi
-all time assist Messi
-most freekick Ronaldinho
-most hatrick Messi
-most penalties goals Messi
.
*Ronaldo and Messi in Laliga*
-most goals Messi
-most assists Messi
-most penalties goals Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most hatricks Ronaldo
-most header goals Ronaldo
-most goals outside the box Ronaldo
-most away goals Ronaldo
.
*Ronaldo and Messi in Uefa champions league*
-most goals Ronaldo
-most assist Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most penalties Ronaldo
-most hatrick Messi
-most header goals Ronaldo
-most away goals Ronaldo
-most goals in single season Ronaldo
-most goals in semi final Ronaldo
-most goals in knockout stage Ronaldo
-most goals in group stage Ronaldo
-most goals in UCL calendar Ronaldo
Is messi the Best player in the world or best player in
Barcelona? Oops honest opinion Ronaldo just simply the best

Ronaldo & Messi vs best goalkeepers

*CRISTIANO RONALDO*
1 - Neuer (6 matches 9 goals)
2 - Buffon (5 matches 7 goals)
3 - Cech (9 matches 6 goals)
4 - Courtois ( 10 matches 12 goals)

MESSI :

1 - Neuer (5 matches 2 goals)
2 - Buffon (6 matches 0 goals)
3 - Cech (10 matches 2 goals)
4 - Courtois (10 matches 6 goals)

*Its just for laughs. No one should take it personal*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*RONALDO and MESSI STATS!*
.
*Ronaldo with Portugal*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assist Ronaldo
-portugal best player Ronaldo
*Messi with Argentina*
-all time scorer messi
-all time assists Messi
-Argentina best player Maradona
*CLUB*
*Ronaldo with Real Madrid*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assists Ronaldo
-most freekick goals in R madrid Ronaldo
-most hatrick Ronaldo
-most penalties goals Ronaldo
.
*Messi with Barcelona*
-all time goals scorer Messi
-all time assist Messi
-most freekick Ronaldinho
-most hatrick Messi
-most penalties goals Messi
.
*Ronaldo and Messi in Laliga*
-most goals Messi
-most assists Messi
-most penalties goals Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most hatricks Ronaldo
-most header goals Ronaldo
-most goals outside the box Ronaldo
-most away goals Ronaldo
.
*Ronaldo and Messi in Uefa champions league*
-most goals Ronaldo
-most assist Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most penalties Ronaldo
-most hatrick Messi
-most header goals Ronaldo
-most away goals Ronaldo
-most goals in single season Ronaldo
-most goals in semi final Ronaldo
-most goals in knockout stage Ronaldo
-most goals in group stage Ronaldo
-most goals in UCL calendar Ronaldo
Is messi the Best player in the world or best player in
Barcelona? Oops honest opinion Ronaldo just simply the best

Ronaldo & Messi vs best goalkeepers

*CRISTIANO RONALDO*
1 - Neuer (6 matches 9 goals)
2 - Buffon (5 matches 7 goals)
3 - Cech (9 matches 6 goals)
4 - Courtois ( 10 matches 12 goals)

MESSI :

1 - Neuer (5 matches 2 goals)
2 - Buffon (6 matches 0 goals)
3 - Cech (10 matches 2 goals)
4 - Courtois (10 matches 6 goals)

*Its just for laughs. No one should take it personal*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu/vitu vinakuwa benchmark.

●Kwenye soka ni pele.
●Kwenye reggae Bob Marley
●Uharakati Garndi
●Wanamapinduzi Che Guevara
●Dr Kamuzu Banda Dr wa malikia.
●Nani atampiku Mandela? Kwanza aanzie jela.
●We unafikiri kuna mtu atakuja kumpiku usain bolt.

Watakaokuja ni kuendeleza tu na si kupiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*RONALDO and MESSI STATS!*
.
*Ronaldo with Portugal*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assist Ronaldo
-portugal best player Ronaldo
*Messi with Argentina*
-all time scorer messi
-all time assists Messi
-Argentina best player Maradona
*CLUB*
*Ronaldo with Real Madrid*
-all time goals scorer Ronaldo
-all time assists Ronaldo
-most freekick goals in R madrid Ronaldo
-most hatrick Ronaldo
-most penalties goals Ronaldo
.
*Messi with Barcelona*
-all time goals scorer Messi
-all time assist Messi
-most freekick Ronaldinho
-most hatrick Messi
-most penalties goals Messi
.
*Ronaldo and Messi in Laliga*
-most goals Messi
-most assists Messi
-most penalties goals Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most hatricks Ronaldo
-most header goals Ronaldo
-most goals outside the box Ronaldo
-most away goals Ronaldo
.
*Ronaldo and Messi in Uefa champions league*
-most goals Ronaldo
-most assist Ronaldo
-most freekicks Ronaldo
-most penalties Ronaldo
-most hatrick Messi
-most header goals Ronaldo
-most away goals Ronaldo
-most goals in single season Ronaldo
-most goals in semi final Ronaldo
-most goals in knockout stage Ronaldo
-most goals in group stage Ronaldo
-most goals in UCL calendar Ronaldo
Is messi the Best player in the world or best player in
Barcelona? Oops honest opinion Ronaldo just simply the best

Ronaldo & Messi vs best goalkeepers

*CRISTIANO RONALDO*
1 - Neuer (6 matches 9 goals)
2 - Buffon (5 matches 7 goals)
3 - Cech (9 matches 6 goals)
4 - Courtois ( 10 matches 12 goals)

MESSI :

1 - Neuer (5 matches 2 goals)
2 - Buffon (6 matches 0 goals)
3 - Cech (10 matches 2 goals)
4 - Courtois (10 matches 6 goals)

*Its just for laughs. No one should take it personal*

Sent using Jamii Forums mobile app
Nail on the coffin
 
Back
Top Bottom