Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Mfalme wa soka
997177c8f3986b71f94ac47728c60974.jpg
 
messi huyu alokuwa na ballon d or 5 ronaldo ana 3 afu akamfikia? messi alokuwa na goli 9 uefa ronaldo ana 2 then ronaldo akampita kwa goli 11 kwa 9?, messi huyu ambaye pamoja na kuwa na kikosi booora kabisa cha argentina kakosa copa america mara mbili mbele ya chile? messi huyu ambaye pamoja na kuwa na kikosi boooora kabisa cha argentina alikosa kombe la dunia?,messi huyu ambaye tangu kaanza mpira kakomaa na barcelona tu na hatujawahi ona uwezo wake katika mazingira mengine tofauti?...acha upuuzi wewe zungumzia maradona,pele na wengineo siyo huyo mbilikimo mbovu klab inambeba
Mshabiki wa man u
 
Watu wa staili hii tushawazoea Mkuu. Alafu eti anamuita mbilikimo.binadamu wengine bwana hata Mungu atumuogopi...Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe...
Ukweli mchunguuuu....mbilikimo hawezi mpira kwa kias mnachotaka kutuaminisha kwenye huu uzi.
 
Ukweli mchunguuuu....mbilikimo hawezi mpira kwa kias mnachotaka kutuaminisha kwenye huu uzi.

Kila mmoja na mtazamo wake kiongozi..so bakia na kile unachoamini wewe.

Kuhusu mbilikimo naona limekukaa mno kichwani. So haipendezi kumuita ivyo hali yakuwa yeye sio mbilikimo, kama wewe ni mrefu bas ndivyo Mungu amekuumba.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu hakika hakuna kama hao wawili katika kura za mchezaji bora wa karne Maradona alimgalagaza Pele mbali Havalange rais wa fifa enzi hizo raia wa Brazil alipata moto sana akaamua kuwa dual yaani wote kura sawa shame very shame
 
Wapo magwiji wa soka waliowahi kutokea duniani, ila Maradona ni wa kwanza bila ubishi. Pele hakua na kitu chochote cha ajabu, hata zile kura za fifa za miaka ya hivi karibuni kumtafuta best player wa karne Maradona alishinda kwa kura nzuri tu, ila kwa kua fifa wapo karibu sana na Pele na ni balozi wao wakaja na figisu figisu kua tuzo iwe ya wote wawili, eti sababu wapiga kura wengi hawakumuona pele akicheza wakati huo ndo maana wakamchagua maradona. For me baada ya maradona messi anafuata, na ikitokea messi akishinda world cup basi hakutakua tena na ubishi juu ya unguli wake wa soka duniani
Kuchukua world cup mwaka huu hadi Germany wajiondoe kushiriki kombe la dunia
 
Mkuu hakika hakuna kama hao wawili katika kura za mchezaji bora wa karne Maradona alimgalagaza Pele mbali Havalange rais wa fifa enzi hizo raia wa Brazil alipata moto sana akaamua kuwa dual yaani wote kura sawa shame very shame

Kabisa Mkuu.
 
Kila mmoja na mtazamo wake kiongozi..so bakia na kile unachoamini wewe.

Kuhusu mbilikimo naona limekukaa mno kichwani. So haipendezi kumuita ivyo hali yakuwa yeye sio mbilikimo, kama wewe ni mrefu bas ndivyo Mungu amekuumba.
sasa uzi wako unataka utuaminishe hivyo bt kwa vigezo na rekodi Messi kapotezwa mbali sana alichomzidi RONALDO NI UFUPI TU na KUKAA KWENYE CLUB MOJA KWA MUDA MREFU BAAAAAS...MBILIKIMO YULE.
 
sasa uzi wako unataka utuaminishe hivyo bt kwa vigezo na rekodi Messi kapotezwa mbali sana alichomzidi RONALDO NI UFUPI TU na KUKAA KWENYE CLUB MOJA KWA MUDA MREFU BAAAAAS...MBILIKIMO YULE.

Ndio maana nikakuambia kila mmoja na mtazamo wake, so baki na kile unachokiamini wewe,hakuna mtu aliyekulazimisha kuamini. Sawa mkuu!!
 
Back
Top Bottom