Uchaguzi 2020 Tangu Tanzania ipate Uhuru, kwa mara ya kwanza CCM inaenda kutumia nguvu nyingi kufanya kampeni

Joyce joyce

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
457
Reaction score
1,973
Kwa mujibu wa PolePole taarifa aliyoitoa juzi inaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwaka huuu CCM inaenda kufanya kampeni kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ipate uhuru.

Swali langu inamaana CCM Uchaguzi huuu inawasiwasi Mkubwa kushindwa? Au kuna mgombea wa upinzani ambae anaifanya CCM iwe na hofu?

Katika akiri tu Ya kawaida ukisikiliza maneno Ya Pole Pole yanaonesha pia kuwa Uchaguzi huuu utapelekea CCM kutumia hela nyingi kuliko chaguz zote zilizowahi kufanyika tangu Tanzania iiingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hiii inanishangaza na kauli nyingi zilizokuwa zinatolewa huko Nyuma na baadhi ya wanaccm kuwa magufuli haitaji hata kufanya kampeni, wengi Walisema kuwa magufuli na CCM haviona sababu ya kufanya kampeni.

Unaweza kugundua kuwa CCM wenyewe wana hofu iliyopitiliza, maaana kukusanya tu wasanii zaid ya Mia moja pamoja watatumia pesa nyingi Sana na hiyo Yote ni hofu ya kushindwa, sasa kelele zooote za kutamba kuwa hakuna haja ya magufuli kufanya kampeni zimeenda wapi? Au kuna mgombea wa upinzani ambae hakudhaniwa kuwa atagombea sasa kajitokeza gafla wazee wakabadili gia angani?
 
Kuna ubaya gani wakitumia nguvu nyingi? Kwani Kuna Sheria watakua wamevunja?
Ubaya upo kiongozi maana watu wataona kuwa watendaji na viongoz wa Juu wameirudisha Nyuma nchi na Ccm Kwa ujumla, unajua kutumia nguvu kubwa maaana yake hukubariki, si unajua hata ukimtaka mwanamke Kama huna sifa utaingia Sana mfukoni?
 
Hiyo Ni tafsiri yako binafsi ila Oktoba, Sugu anastaafishwa Siasa hapa Mbeya (M) maana tumechoka maneno-maneno bila maendeleo
 
Ila sugu Mkuu ni kisiki cha mpingo, kumngoa sugu lazima itumike polis na mitutu mikubwa mikubwa pasipo kufanya hivyo utasugua Sana gaga Mkuu hilo liko wazi, kwa Uchaguzi usiotumia bunduki sugu sio rahis Kama unavyodanganyika
 
Kura tu zitamuondoa
 
Hiyo Ni tafsiri yako binafsi ila Oktoba, Sugu anastaafishwa Siasa hapa Mbeya (M) maana tumechoka maneno-maneno bila maendeleo
Wewe ndio mpumbafu wa mwisho duniani nani kaisogezeza Mbeya mbele kuliko sugu? ujue Sugu akiondoka CCM mbeya wanalala
 
Tulia wewe. Kura zote kwa Dr. Msomi (PhD)
 
Hiyo Ni tafsiri yako binafsi ila Oktoba, Sugu anastaafishwa Siasa hapa Mbeya (M) maana tumechoka maneno-maneno bila maendeleo
Huoni huyo mama anavyotumia hela kuhonga? Kaanza kutumia hela Kwa muda mrefu Sana anajificha kwenye kichaka cha hiyo taasis ya tulia sijui nini, Au hauoni kwenye TV? Mbona vitu vingne haviitaji Elimu? Kama nilivyokueleza Mkuu nikuwa kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza, Kama una sifa huwezi kutumia pesa, Au polis Au kuhonga Au kutisha Mkuu Kama unajiamini weka Ngoma uwanjani acha kuweka mpira kwapani Halafu unatamba kuwa wewe ni Mchezaji
 
Amevunja Sheria gani ya nchi?
 
Kwa mujibu wa PolePole taarifa aliyoitoa juzi inaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwaka huuu Ccm inaenda kufanya kampeni kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ipate uhuru.

Swali langu inamaana CCM Uchaguzi huuu inawasiwasi Mkubwa kushindwa? Au kuna mgombea wa upinzani ambae anaifanya CCM iwe na hofu?

Katika akiri tu Ya kawaida ukisikiliza maneno Ya Pole Pole yanaonesha pia kuwa Uchaguzi huuu utapelekea CCM kutumia hela nyingi kuliko chaguz zote zilizowahi kufanyika tangu Tanzania iiingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hiii inanishangaza na kauli nyingi zilizokuwa zinatolewa huko Nyuma na baadhi ya wanaccm kuwa magufuli haitaji hata kufanya kampeni, wengi Walisema kuwa magufuli na CCM haviona sababu ya kufanya kampeni.

Unaweza kugundua kuwa CCM wenyewe wana hofu iliyopitiliza, maaana kukusanya tu wasanii zaid ya Mia moja pamoja watatumia pesa nyingi Sana na hiyo Yote ni hofu ya kushindwa, sasa kelele zooote za kutamba kuwa hakuna haja ya magufuli kufanya kampeni zimeenda wapi? Au kuna mgombea wa upinzani ambae hakudhaniwa kuwa atagombea sasa kajitokeza gafla wazee wakabadili gia angani?
mkuu pole pole hajui siasa ila uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi na huwenda rais magufuli akapata asilimia 90 ya kura watu wanaonekana wanamwamini sana rais na ameifanya ccm iwe na nguvu kwa miaka 30 ijayo
 
Tuendelee kuishi kama mashetani, tutaelewana kidogo kidogo tu.
 
mkuu pole pole hajui siasa ila uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi na huwenda rais magufuli akapata asilimia 90 ya kura watu wanaonekana wanamwamini sana rais na ameifanya ccm iwe na nguvu kwa miaka 30 ijayo
Mkuu juz nilikaaa sehemu Wakati anachukua form watu wanaangalia TV kuna wawili walitamba Sana na kumshabikia Sana watu Kama 40 hivi walikuwa kimya wale wakaenda wakawatibua wale 40 walihamaki wakaanza kuwachamba na kusema kuwa tupige kura sasahivi hapa Kati walionyosha mkono kumkataa ni 36 wslionyosha kumkubali ni 6 tu nilishangaa Sana watu wakaanza kusema kuwa watu wanaomkubali magufuli wamekuwa huru kwa kutamba na wanajitokeza zaid Na wanaompinga wamejichimbia wako kimya kutokana na hofu iliyojengwa na serikali Ya kuwafuatilia Ndio maaana watu Kama wewe mnakuwa na ujasiri wa kuongea hivyo Lakini kinachopelekea uongee hivyo ni watu Wa upande wa pili kukaa kimya Lakini ukweli ni kuwa Kwa Uchaguzi huru na haki magufuli ni 30 asilimia tu na haziwez vuka hapo huo ndio ukweli usiosemwa Mkuu
 
Back
Top Bottom