Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Kwa mujibu wa PolePole taarifa aliyoitoa juzi inaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwaka huuu CCM inaenda kufanya kampeni kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ipate uhuru.
Swali langu inamaana CCM Uchaguzi huuu inawasiwasi Mkubwa kushindwa? Au kuna mgombea wa upinzani ambae anaifanya CCM iwe na hofu?
Katika akiri tu Ya kawaida ukisikiliza maneno Ya Pole Pole yanaonesha pia kuwa Uchaguzi huuu utapelekea CCM kutumia hela nyingi kuliko chaguz zote zilizowahi kufanyika tangu Tanzania iiingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hiii inanishangaza na kauli nyingi zilizokuwa zinatolewa huko Nyuma na baadhi ya wanaccm kuwa magufuli haitaji hata kufanya kampeni, wengi Walisema kuwa magufuli na CCM haviona sababu ya kufanya kampeni.
Unaweza kugundua kuwa CCM wenyewe wana hofu iliyopitiliza, maaana kukusanya tu wasanii zaid ya Mia moja pamoja watatumia pesa nyingi Sana na hiyo Yote ni hofu ya kushindwa, sasa kelele zooote za kutamba kuwa hakuna haja ya magufuli kufanya kampeni zimeenda wapi? Au kuna mgombea wa upinzani ambae hakudhaniwa kuwa atagombea sasa kajitokeza gafla wazee wakabadili gia angani?