Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha.
Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike. Ndio maana alipambana mapato ya Serikali yatumike vyema ili masikini na wanyonge wasiteseke na tozo na manyanyaso.
Leo hii matajiri wanapeta.
Tozo, ada na manyanyaso yanawatesa raia wanyonge wa chini.