Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edward Sokoinne (mara mbili)
Cleopa Msuya (mara mbili)
Salim Ahmed Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Frederick Sumaye
Edward Lowassa
Mizengo Pinda
Kassim Majaliwa
Halafu kuna: Mwigulu Nchemba
Hatujawahi kuwa na waziri mkuu anayeropoka hovyo hovyo kama huyu wa sasa. Wengine wote walikuwa reserved na wenye fikra tulivu. Pure statesmen pamoja na mapungufu yao. Huyu hata wiki hajamaliza lakini utafikiri keshakaa ofisini karne nzima. Chawa. Hajui la kusema ili kulinda hisia za taifa. Dharau, kiburi na kejeli kama zile za kuhamia Burundi.
2030 tutafika kweli? 😳