Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
Khirdi isusu ra-manye! ππ
Mnachanganyikiwa sasa, nchi hii hatujafanya uchaguzi, hivyo hatuna rais wala wabunge, hivyo hatuna waziri mkuu.
Huyo mnaomtambua mkamjadili huko kwenye ma group ya ccm siyo humu, au ma group yenu yamejaa?
Huyo ni msemaji wa ccm siyo waziri mkuu.
Mpaka tutakapofanya uchaguzi ndio tutapata waziri mkuu.
Hili genge lina lazimisha kutambuliwa nanyi mnaingia mkenge.
Na huo ndio ukweli, hata icc haishitakiwi serikali ya Tanzania bali genge la ccm na polisi wao.
Bila Mr. Tabasamu feki hata huko kwenye chama sijui kama angepitishwa!Na huo ndio ukweli, hata icc haishitakiwi serikali ya Tanzania bali genge la ccm na polisi wao.
Wana nchi hatujafanya uchaguzi, hivyo hatuna serikali.
Tunapata serikali baada ya uchaguzi wa kitaifa, sio uchaguzi wa watawala ndani ya chama chao.
Hata ndani ya chama chao walimkataa akajiteua, akabadili katiba waka mkataa.
Wana tawala wajinga, maandamano yangeanza siku hiyo hiyo.
π€π€