Hamfanyikazi siku za sikukuu ila perdiem mnaandikia.Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.
1. Sherehe kidogo za kitaifa eti hatufanyi kazi.
2. Kumbukumbu ya kifo Cha kiongozi fulani eti hatufanyi kazi.
Eti viongozi ni waZanzibar tutunze kumbukumbu, inasaidia nini? Mtoto shuleni anafundishwa habari za Kinjekitile sijui, inasaidia nini? Ujinga ujinga tu
Tofautisha kati ya Passport, NIDA na Zanzibar residence identification Card (ZanID).Kwanini nisipewe?
Mbona Mbowe ni mnyasa lakini ana passport na kitambulisho cha nida?!!
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015K
Kaka na dada! πππSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Mbona wanyamwezi na wasukuma kibao wanazi ZanID.Tofautisha kati ya Passport, NIDA na Zanzibar Identity Card (ZanID).
Na pia ni mtu na dada/kaka yake wakishea baba mmoja ambaye naye aliwahi kuwa rais wa Zanzibar na Tanzania. Kweli tunatawaliwa kisawasawa.Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Kama wewe ni Mromboo ikiwa ulizaliwa Makunduchi nenda kadai ZanID yako.Mbona wanyamwezi na wasukuma kibao wanazi ZanID.
Ni utani kama ukweli au ukweli kama utani?Na pia ni mtu na dada/kaka yake wakishea baba mmoja ambaye naye aliwahi kuwa rais wa Zanzibar na Tanzania. Kweli tunatawaliwa kisawasawa.
Siyo hilo tu bali pia wote ni wa baba mmojaSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Akaja kuwa mbunge wa Mkuranga 2005-2010.Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Hizi vurugu sasa Bwashee!Kwanini nisipewe?
Mbona Mbowe ni mnyasa lakini ana passport na kitambulisho cha nida?!!
Na retirement wanafanyaHamfanyikazi siku za sikukuu ila perdiem mnaandikia.
Unapewa bila tatizo.Kama wewe ni Mromboo ikiwa ulizaliwa Makunduchi nenda kadai ZanID yako.
Na tume zinakuja chunguza tena nazo zinalipwa.Nchi yangu hiiNa retirement wanafanya
Ni ukweli kama utani.Ni utani kama ukweli au ukweli kama utani?
Kwani kuzaliwa Mkuranga kunamfanya asiwe raia wa Zanzibar .....!!Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Soma katiba ya Zanzibar.Kwani kuzaliwa Mkuranga kunamfanya asiwe raia wa Zanzibar .....!!
ππππNi ukweli kama utani.