Hamfanyikazi siku za sikukuu ila perdiem mnaandikia.Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.
1. Sherehe kidogo za kitaifa eti hatufanyi kazi.
2. Kumbukumbu ya kifo Cha kiongozi fulani eti hatufanyi kazi.
Eti viongozi ni waZanzibar tutunze kumbukumbu, inasaidia nini? Mtoto shuleni anafundishwa habari za Kinjekitile sijui, inasaidia nini? Ujinga ujinga tu