Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.

1. Sherehe kidogo za kitaifa eti hatufanyi kazi.

2. Kumbukumbu ya kifo Cha kiongozi fulani eti hatufanyi kazi.

Eti viongozi ni waZanzibar tutunze kumbukumbu, inasaidia nini? Mtoto shuleni anafundishwa habari za Kinjekitile sijui, inasaidia nini? Ujinga ujinga tu
Hamfanyikazi siku za sikukuu ila perdiem mnaandikia.
 
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.

View attachment 2196015K

View attachment 2196015
Kaka na dada! 😄😄😄
🏃🏃🏃
 
Na pia ni mtu na dada/kaka yake wakishea baba mmoja ambaye naye aliwahi kuwa rais wa Zanzibar na Tanzania. Kweli tunatawaliwa kisawasawa.
 
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani ni Wazanzibari. Hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.

View attachment 2196015
Siyo hilo tu bali pia wote ni wa baba mmoja
 
Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Akaja kuwa mbunge wa Mkuranga 2005-2010.
 
Kama ni Samia Hassan naye si Mzanzibar halisi.

DCC3D5DC-3240-4C13-A6F9-C334DC2776A5.jpeg
 
Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Kwani kuzaliwa Mkuranga kunamfanya asiwe raia wa Zanzibar .....!!
 
Back
Top Bottom