hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Acha uongoNi kweli ila kipindi Vanessa anaacha kuimba alishashuka kutoka kuwa wa kimataifa mpaka kuwa local na hukohuko local akajikuta anazidiwa na Nandy
Kwanza hao wote kuanzia nandy na zuchu wapo hapo kwaajili ya Busta
.zuchu ni kwakuwa analiwa na Domo so Hilo lime mfanya pia aongelewe zaidi nje ya music wake anaoufanya
Nandy alikuwa chakula ya Ruge so akawa ana pewa mbeleko ya kila namna ijapokuwa sikatai kwamba uwezo anao ila hafikii hata robo Kwa V money
Ukiachana tu na ile level ya international aliyokuwa nayo v.money but the way anavyo sound ni international market sound yake ni kama Rubby And abbygal Chams yaani unaona kabisa they're so talented kama hauko makini Unaweza kudhani Rihanna kashuka bongo