Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Duh Wasafi mbona hawajambeba Lavalava, Mbosso au Rayvanny wakawa bora zaidi kuliko Marioo, Harmonize n.k

Huyo Mbosso wakati wa Harmonize ulikuwa ukimsikia hata Zuchu?

Ukimilliki Label utaelewa kwa nini kwenye soko unapeleka msanii mmoja mmoja na sio wote kwa pamoja
 
Na mwisho alionekana ziwa Tanganyika.
Mwanajua, Tutamkumbuka sana.
 
Back
Top Bottom