baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Zuchu nje Wasafi ni Mrisho mpoto aliechangamka na sauti lake lileVanessa ajafikia hata nusu ya zuchu japo mm sio shabiki wa zuchu
Zuchu nje Wasafi ni Mrisho mpoto aliechangamka na sauti lake lileVanessa ajafikia hata nusu ya zuchu japo mm sio shabiki wa zuchu
ChaiZuchu hata kwa nandy hagusi.
Come over na Kisela (ft Mr . P) nazikubali sana.Nimemkumbuka sana Vee money.
Nilikuwa napenda sana aina ya sound yake,ngoma zake zilikuwa na quality ya juu sana.
Ata ukiwa na music system nzuri utakubaliana na mimi ukiwa unasikiliza ngoma za vannesa mfano
Cash Madame
Hawajui
Nobody But Me
Wet (ft. GNako)
Come Over
Niroge
Kisela
That’s For Me
Unaona sound quality ipo poa sana
Kwa ufupi: Dolby Atmos = sauti yake 3D inayokupa experience kama uko ndani ya ngoma zake.
I miss her.
Nitajie uwanja ambao kajaza Burn Boy ambao Davido ameshidwa kujaza Burn kaimba Final UEFA Davido akimba final Kombe la dunia Burn Nigeria ndo hakubalikiInawezekana mkuu si unaona Davido anahit sana kwao Nigeria ila kwa nje amezidiwa na Burna boy au pale South Africa Scotts Maphuma anatamba kuliko msanii yeyote lakini kwa nje anazidiwa na kina Tyla
1)Come overNitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee.
Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
ChaiMimi nilikuwa namuombea afanikiwe zaidi kwa muziki wake, lakini tbh kwa Tanzania hakuna dada yoyote anaweza kupita kwenye vocals za Ruby.
😂😂😂😂😂😂😂😂Ndio maana mada zako zimejaa utoto kama Zuchu. Mwanaume unapata wapi.muda wa kusikiliza Zuchu
Si ndo ambavyo mimi nimesema ama sivyo?Nitajie uwanja ambao kajaza Burn Boy ambao Davido ameshidwa kujaza Burn kaimba Final UEFA Davido akimba final Kombe la dunia Burn Nigeria ndo hakubaliki
Umesema Burn kamzidi Davido kimataifa kitu amabacho sio kweliSi ndo ambavyo mimi nimesema ama sivyo?
ChaiShe was overhyped kuliko uhalisia. Hata wewe unafanya kile kile overhyping.
Mkuu mimi ni team obo, ila burna kwa soko la nje he's exceptional.Umesema Burn kamzidi Davido kimataifa kitu amabacho sio kweli
Ndo maana nikasema taja viwanja ambavyo kajaza Burn boy vya Ulaya Davido kashidwa kuvijaza?Wewe unatumia vigezo gani kusema sio kweli🤣🤣
Ngoja nikachukue beat ya hii nyimbo nisikilize umenikumbushaKisela
Tuzo za P didy au Tunaangalia sold out mkuuAcha kuangalia kujaza kwa viwanja angalia numbers,tuzo na kushika chati mbalimbali duniani
Sasa kwamba na yeye angebaki stagnant?Kwa level alizofikia kipindi kile hakuna aliyefikia kweli ingawa kama angeendelea kuwepo mpaka sasa moto ambao angepelekewa na Zuchu asingeamini macho yake
😂😂😂😂😂😂Zuchu nje Wasafi ni Mrisho mpoto aliechangamka na sauti lake lile
Burna ndio msanii mkubwa Afrika kwa sasa ukimtoa TylaTuzo za P didy au Tunaangalia sold out mkuu
Mkuu wewe hufuatilii mbona alishaanza kushuka kuanzia 2017 mwishoni na hapo ndipo Nandy akatawalaSasa kwamba na yeye angebaki stagnant?
Vee hategemei lebo kumkuza kama huyo zuchu wenu.
Na miongoni mwa vitu vilivyosababisha akae pembeni kama nilivyotangulia kusema ni maslahi.
Gharama kubwa kwa ajili ya wimbo, shows ili ziwe za kueleweka ila malipo hayaeleweki matokeo unaishia maisha ya kufake fake tu ili ulinde brand.