Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Ukubwa unaanzia ndani kwanza.....huwezi ukawa maarafu overseas wakati nyumbani kwenu haujulikani,...mond ni mkubwa na ukubwa ameupata ndani kwanza
Inawezekana mkuu si unaona Davido anahit sana kwao Nigeria ila kwa nje amezidiwa na Burna boy au pale South Africa Scotts Maphuma anatamba kuliko msanii yeyote lakini kwa nje anazidiwa na kina Tyla
 
Nimemkumbuka sana Vee money.
Nilikuwa napenda sana aina ya sound yake,ngoma zake zilikuwa na quality ya juu sana.

Ata ukiwa na music system nzuri utakubaliana na mimi ukiwa unasikiliza ngoma za vannesa mfano

Cash Madame
Hawajui
Nobody But Me
Wet (ft. GNako)
Come Over
Niroge
Kisela
That’s For Me

Unaona sound quality ipo poa sana

Kwa ufupi: Dolby Atmos = sauti yake 3D inayokupa experience kama uko ndani ya ngoma zake.

I miss her.
 
Never ever
 
Miaka 16 imepita vee money aliachia mkwaju wa NO BODY BUT ME akiwa na K.O haikuwa rahisi........
mkwaju ulipigwa mpaka BET...
Hakuna nyimbo iliwah kupigwa BET miaka hiyo
Vannesa hana ngoma kali zaidi ya hiyo, zingine zote alikuwa anarukaruka tuu
 
Sasa yeye huo ukubwa haukuja
Hizi ni miongoni mwa tuzo alizoshinda
1. MTV Africa Music Awards
Best Female Artist (2016)

2. African Muzik Magazine Awards
Best Female East Africa (2015 na mwaka 2016)

3. All Africa Music Awards
Best Female Artist in Eastern Africa (2015)

4. HiPipo Music Awards
Alishinda tuzo kadhaa ikiwemo Best Female East Africa
5. Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA)
Alishinda tuzo nyingi sana yani
Best Female Artist
Best R&B Song
Best Collaboration

Pia alikuwa nominated kwenye tuzo zingine kubwa tu mfano tuzo za BET
 
Bc mkuu dah ndo umeenda kuchomoa Makombora Yako yote 🙌

Anyway, bado sio mkubwa 😎
 
Back
Top Bottom