Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

Nilimjua Vanesa kwenye Dume Challenge,ila kwenye muziki,tunamsingizia kabisa,sijui hata nyimbo zake
 
Hiyo ni opinion yako sio fact.

Fact ni kwamba zuchu yupo juu zaidi ya nandy na vanesa mdee.
Ingekuwa muziki tunaupima kwa mahaba yetu basi diamond hata kwa barnaba hagusi lakini facts ni otherwise.
Hivi na ww zuchu anabebwa na wcb yule angeanza yy km alivyo pambana vee moyen .. Hivi zuchu kuna wanaume kabisa mnasikiliza nyimbo zake. L.. Eti sukari ww mwanaume unasukari ...
 
Hivi na ww zuchu anabebwa na wcb yule angeanza yy km alivyo pambana vee moyen .. Hivi zuchu kuna wanaume kabisa mnasikiliza nyimbo zake. L.. Eti sukari ww mwanaume unasukari ...
Zuchu ni msanii mwenye kipaji kikubwa usikariri eti kwasababu yupo Wasafi Zuchu ana nyimbo nyingi ni hit song na zenye namba kubwa digital platforms Vee money mwenyewe alikuwa na connection hata kabla hajawa msanii wa kuimba kumbuka Hilo, kaanzia kuwa mtangazaji Kwanza huko ndiko katengeneza connection ambayo imemsaidia kwenye mziki.
 
Zuchu ni msanii mwenye kipaji kikubwa usikariri eti kwasababu yupo Wasafi Zuchu ana nyimbo nyingi ni hit song na zenye namba kubwa digital platforms Vee money mwenyewe alikuwa na connection hata kabla hajawa msanii wa kuimba kumbuka Hilo, kaanzia kuwa mtangazaji Kwanza huko ndiko katengeneza connection ambayo imemsaidia kwenye mziki.
Yule mm wala sina hata nyimbo yake moja.. Yuleni mwimba taarabu alie changamka hakuna kitu mle
 
Katika historia ya muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla, jina la Vanessa Mdee linabaki kuwa alama ya mafanikio, ubunifu, na ushawishi mkubwa.
Vanessa allijijengea himaya yake si tu kama mwimbaji, bali pia kama mtangazaji napo alifanya vizuri sana.

Vanessa alitushtua wengi alipotangaza ameamua kuachana na muziki rasmi aishi maisha yake nje ya muziki.

Wengi mwanzoni tulidhani ni kiki kama zilivyo kiki nyingine ,kumbe bhana bi dada alidhamiria kweli kweli .

Kilishotushangaza zaidi Vanessa aliamua kuacha muziki akiwa kwenye peak , yani kila wimbo akitoa ni hit tu back to back.

Niwarudishe nyuma kidogo...........


Vanessa Mdee alianza kujulikana kupitia utangazaji kabla ya kuingia rasmi kwenye muziki. Aliwahi kufanya kazi na MTV Base, jambo lililompa exposure kubwa sana kimataifa hivyo hata kuingia kwake kwenye muziki kulianza kwa kishindo kikubwa , na haraka akawa mmoja wa wasanii wa kike waliotawala chati za muziki Tanzania.

Licha ya kwamba wakati huo tasnia ya muziki ilikuwa imejaa wanaume wengi, lakini Vanessa aliweza kusimama imara na kujitengenezea nafasi yake.

Aidha, alifanikiwa kushinda na kuteuliwa kwenye tuzo mbalimbali kama:
MTV Africa Music Awards
All Africa Music Awards

Vanessa alifanikiwa pia kupata dili kutoka kampuni mbalimbali kuwa balozi wao kutokana na nguvu ya ushawishi aliyokuwa nayo.

Pamoja na mafanikio hayo yote,
Kitu kilichowashangaza wengi ni pale Vanessa alipotangaza kuachana na muziki rasmi.

Vanessa aliacha muziki kipindi ambacho bado yupo juu kileleni na mashabaki lukuki wapo nyuma yake kusubiri ngoma zake.

Binafsi ninakumbuka sababu kuu aliyoitaja Vanessa kuachana na muziki ni MASLAHI.

Vanessa alikuwa anadai anatumia pesa nyingi kuandaa wimbo, gharama nyingi kwenye show lakini anachoingiza ni kiduchu .

Hivyo ni uthibitisho tosha kwamba muziki hapa bongo bado sana kwenye maslahi labda kama msanii target yake ni hapa hapa ,hivyo maandalizi local, bajeti ndogo, ila kama anataka vitu vya kimataifa ili na yeye akue kimuziki na kupata ridhiki ya kueleweka kwa hapa bongo ni ngumu mno.

Licha ya hivyo , sababu zingine alizozitoa ni hizi.

1. Afya ya akili (Mental Health)
Vanesa alidai kuwa maisha ya muziki yalikuwa yanamchosha kiakili na kihisia, Umaarufu huja na presha kubwa ambayo si rahisi kuhimili kwa muda mrefu.

2. Kutafuta Amani ya ndani
Vanessa alisema alihitaji maisha ya utulivu zaidi nje ya kelele za umaarufu na mashindano ya tasnia ya muziki.

3. Mahusiano na Rotimi
Baada ya kuanzisha familia na kuhamia nje ya Tanzania, vipaumbele vyake vilibadilika. Alianza kuona maisha nje ya muziki yana thamani zaidi kwake binafsi.

4. Imani na Mwelekeo Mpya
Katika baadhi ya kauli zake, aligusia pia mabadiliko ya kiimani na mtazamo mpya wa maisha uliomfanya aone kuwa muziki haukuwa tena njia sahihi kwake.


Binafsi nina imani huenda ipo siku atarudi tena kwenye muziki kutuburudisha , ila sasa ni ngumu sana kuacha muziki kisha ukarudi ukategemea utapata mapokeo yaleyale kama mara ya kwanza, tuchukulie mfano mzuri Mzee Yusuph, alikuwa na mashabiki tele kabla ya kutangaza kuachana na muziki.

Baada ya kukaa nje kimuziki kwa muda mrefu kisha akarejea, kila wimbo anaotoa ni flopp , hakuna wimbo wowote uliohit tangu arudi kwenye muziki.
Nandy na Zuchu bado wako Localized
 
Nitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee.

Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
Aisee 😄🙌
 
She was overhyped kuliko uhalisia. Hata wewe unafanya kile kile overhyping.
Acha basiii

So Kuna ngoma Gani ya msanii wa bongo wa kike inayo fikia Ngoma ya V money Aliyofanya na reekado banks song Bambino

Hivi ni upofu au ukiziwi wa kutokujua /kusikia vitu vizuri au ni nini
 
Back
Top Bottom