Acha uongoNi kweli ila kipindi Vanessa anaacha kuimba alishashuka kutoka kuwa wa kimataifa mpaka kuwa local na hukohuko local akajikuta anazidiwa na Nandy
1. CloserNitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee.
Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
Vanessa aloneHits 10! Hizo hits unazijua wewe tu π π π
Vanessa na mdogo wake hawafikishi hits 5 combined.
Watu walipenda swag zake not necessarily nyimbo zake. She's a good 'people', no doubt. That's about it.
Hauna kaforo ka huyo Vannesa nisafishepo macho lo?????