Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

Umetumia vigezo gani Ndugu mwandishi hadi kuja na mahesabu hayo?
Time dilation kutoka kwenye theory ya general relativity "the greater the mass of an object, the more it curves spacetime, leading to a stronger gravitational effect;" hivyo dunia na ulimwengu wetu kwa ujumla una mass ndogo kufanya time kwenda haraka kuliko ulimwengu alipo yesu ambapo kuna mass kubwa hivyo muda unaenda taratibu
 
Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja.
Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
Uko sahihi kabisa
2 Petro 3:8 NEN
"Lakini wapendwa, msisahau neno hili: kwamba kwa Mwenyezi Mungu, siku moja ni kama miaka elfu..."

2 Pet 3:3-4 BHN
"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!"
 
Umetumia vigezo gani Ndugu mwandishi hadi kuja na mahesabu hayo?
2 Petro 3:8 NEN
"Lakini wapendwa, msisahau neno hili: kwamba kwa Mwenyezi Mungu, siku moja ni kama miaka elfu..."
Ndio sababu mbinguni kuna raha
 
Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja.
Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
Subiri kwanza ukishafuturu ndo uanzishe uzi. Mawenge ya Ramadan na Quaresma ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…