Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi.

Mkurugenzi huyo ameelezea pia sababu ya upungufu wa sukari uliopo hapa nchini na njia au mikakati ambayo inaendelea kufanyika ili kumaliza tatizo hilo.ambapo amesema ya kuwa upungufu huo unatokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini ambapo zinakwamisha shughuli za uvunaji wa miwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari.

Kwa hiyo uagizwaji na uingizwaji wa Tani hizi za sukari kutoka nje ya nchini kuja hapa Nchini ni katika juhudi za kuongeza kiasi cha upatikanaji wa sukari hapa nchini na kuweza kuendana na mahitaji ya Sukari yanayohitajika.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ule mpango was JPM na azam kupewa eneo alime miwa ya sukari imeishia wapi¡?
 
Usinifananishe mimi na Mheshimiwa Mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge ,nyota ya matumaini anayefanya kazi na kuchapa kazi mpaka kazi zenyewe zinapiga salute kwake. Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeifungia wapi hiyo sukari? Kwanini usiitoe kama umeifungia wewe.
We akili zako butu sjui unatakiwa u boost na bangi au sembe.
Yaani unajifanya hujui kua kiuchumi ukitaka kupaisha bei ya bidhaa unasababisha scarcity ili bei ipae.
Hujui hapa kwetu maccm ndo sole owners wa bei ya bidhaa hasa mafuta,petrol sukari mchele na sembe
 
Usinifananishe mimi na Mheshimiwa Mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge ,nyota ya matumaini anayefanya kazi na kuchapa kazi mpaka kazi zenyewe zinapiga salute kwake. Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Hata uenyekiti wa nyumba kumi hupewi.
Wamegundua wewe ni opportunist hufai
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi.

Mkurugenzi huyo ameelezea pia sababu ya upungufu wa sukari uliopo hapa nchini na njia au mikakati ambayo inaendelea kufanyika ili kumaliza tatizo hilo.ambapo amesema ya kuwa upungufu huo unatokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini ambapo zinakwamisha shughuli za uvunaji wa miwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari.

Kwa hiyo uagizwaji na uingizwaji wa Tani hizi za sukari kutoka nje ya nchini kuja hapa Nchini ni katika juhudi za kuongeza kiasi cha upatikanaji wa sukari hapa nchini na kuweza kuendana na mahitaji ya Sukari yanayohitajika.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Tstizo nyie hamuoni mbele hamjui kutathmini uzalishaji na ujazo wa sukari.
Habari ya mvua tuliambiwa miezi kadhaa na kama mnajua athari zake mlichukua hatua gani kuepusha kadhia hii?
Nyie mpo mpo tuu, bodi na wizara watendaji wanasubiri mishahara posho marupurupu na makandokando mengine na kuachia mambo yajiendee yenyewe
Halafu iweje tatizo hili hujorudia kila ikikaribia mfungo wa Ramadan no matter ukiwa December,June au hata January?😡
 
Mdogo wangu umeelewa lakini sababu zilizotolewa za kupungua kwa uzalishaji wa sukari kwa kipindi hiki? Au wewe umekimbilia kutoa maoni yako tu yanayokujia kichwani mwako humo[emoji3][emoji3][emoji3]
Huna akili.

Mvua imezuia uzalishaji sukari.

Mvua imesababisha upungufu uzalishaji umeme.::NCHI YA PWAGU NA PWAGUZI
 
Hizi sababu zipo kila mwaka yani sijui kwanini huwa wanaosimamia mambo hawajifunzi. Sio mara ya kwanza kutokea. Jambo likitokea mara kwa mara tunategemea watu wawe wamejifunza so siku nyingine wanaliwahi kabla ya kutokea. Lakini hapa kwetu kila siku mambo yanajirudia iwe mafuriko jangwani, sukari kuadimika, umeme kupungua. Inabidi tuwe proactive na sio reactive kwa amsuala yanayojirudia kila mara.
Nchi ya MAPWAGU NA MAPWAGUZI
 
Tstizo nyie hamuoni mbele hamjui kutathmini uzalishaji na ujazo wa sukari.
Habari ya mvua tuliambiwa miezi kadhaa na kama mnajua athari zake mlichukua hatua gani kuepusha kadhia hii?
Nyie mpo mpo tuu, bodi na wizara watendaji wanasubiri mishahara posho marupurupu na makandokando mengine na kuachia mambo yajiendee yenyewe
Halafu iweje tatizo hili hujorudia kila ikikaribia mfungo wa Ramadan no matter ukiwa December,June au hata January?[emoji35]
Nchi ya MAPWAGU NA MAPAGUZI[(CCM&SERIKALI YA CCM)[
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi.

Mkurugenzi huyo ameelezea pia sababu ya upungufu wa sukari uliopo hapa nchini na njia au mikakati ambayo inaendelea kufanyika ili kumaliza tatizo hilo.ambapo amesema ya kuwa upungufu huo unatokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini ambapo zinakwamisha shughuli za uvunaji wa miwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari.

Kwa hiyo uagizwaji na uingizwaji wa Tani hizi za sukari kutoka nje ya nchini kuja hapa Nchini ni katika juhudi za kuongeza kiasi cha upatikanaji wa sukari hapa nchini na kuweza kuendana na mahitaji ya Sukari yanayohitajika.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hiyo sukari kwani itagawa bure! Au ndio yake yale ya kuchanganywa na makapi pumba tukauziwa!.

Je viwanda vyetu tukuka vinazalisha sukari GURU!!
 
Back
Top Bottom