DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Ni bonge ya ngoma, hata mimi naifagilia sana mkuuI MISS YOU...
Hii ngoma inanikonga moyo sana...
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bonge ya ngoma, hata mimi naifagilia sana mkuuI MISS YOU...
Hii ngoma inanikonga moyo sana...
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia....
Nakuunga mkono. Hata meneja wake Salaam aliwahi kusema "Ukimuona" ndio wimbo bora wa muda wote kutoka kwa Diamond. Cha kuudhi ni kwamba haukutengenezewa video yake.Ukimuona ndio wimbo bora kwangu wa muda wote kutoka kwa Diamond ukifuatiwa na Nenda Kamwambie.
Hata aje aandike vipi sitokaa nimuelewe zaidi ya hizo mbili.
HIO picha inaongea Mengi sanaMwandishi Pascal saulon 0699109802
Hiyo ngoma ni motoNgoma zote mlizotaja ni kali ila kuna ngoma naona haiongelewagi kabisa inaitwa Far Away yuko na Vee Money ni ngoma classic sana🔥
Na upata huo wimbo ni motoWacha niweke orodha yangu pia
1. Kamwambie
Huu unaweza kusema ni mguu wa kutokea wa Nasibu hadi kuwa Diamond... ulikuwa ni wimbo wa taifa 2009.
2. Nitampata wapi
Moja kati ya nyimbo bora sana za Diamond, melodyz ushairi, utulivu, quality ya video, mavazi n.k
3. I miss you
Yawezekana, ahadi zangu zisizotimia
Ndiyo maana, haukutaka kuvumilia
Nasema nyama, mwisho wa siku naleta bamia
Chai mchana, usiku dona kulumangia...
4. Moyo wangu
Hii ngoma iliitangulia ngoma ya Suma Lee ile ya Hakunaga, kidogo sana, ilifanya tugawanyike... wengine Hakunaga ni kali, na wengine Moyo wangu ni kali... any ways, Moyo wangu uliikubali sana Moyo wangu
5. Binadamu
Very inspirational song, real life inspiration... sijui kama masikio yenu yanasikia kama ninavyosikia mimi!!
N.B: Kuna wimbo unaitwa KWANINI... Kuna wakati nahisi naujua mimi pekee, ila ni moja kati ya nyimbo nzuri za Diamond Platnumz nizopendazo
Kwamba nimeandika kama mtoto 😅.japo umeandika kama mtoto ila nipo hapa coz namkubali sana Diamond si kwa nyimbo zake ila jinsi anavyofanya mambo yake
keep GoinG
Kwamba nimeandika kama mtoto 😅.japo umeandika kama mtoto ila nipo hapa coz namkubali sana Diamond si kwa nyimbo zake ila jinsi anavyofanya mambo yake
keep GoinG
KWA UPAMBANAJI WA DIAMOND NI
Jamaa mpambanaji sana 🙌MPUMBAVU PEKEE ATAKAE SHINDWA KUONA NAOMA JAMAA ALIVYOPAMBANA
ACHA ALE PESA ZAKE KWA AMANI AISEE
Komasava 😅Komasava world wide.
Jamaa aliandika sana 🙌
Hizo ni ngoma kali sana.Ukimuona ndio wimbo bora kwangu wa muda wote kutoka kwa Diamond ukifuatiwa na Nenda Kamwambie.
Hata aje aandike vipi sitokaa nimuelewe zaidi ya hizo mbili.
Hii kwanini ngoja nikaisikilizeWacha niweke orodha yangu pia