Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

Tano za diamond ni zile ambazo apig kilele ila mimi ni tatu tu ndio nakubali alipga kweli
1.TATIZO MBAGALA
2.FT OMARION
3FT WATERKELLERMEN
ila magodoro yamelowekwa maji mmmmh au izi nyingine uwezi kutambua kipaji chake
Hii feat Waterkellermen ni ipi
 
Aga mi nashangaaga, licha ya Diamond kuimba nyimbo kali za mapenzi. lakini, tukitazama uhalisia wa maisha yake ya Mapenzi tunapata hitimisho jamaa hajakomaa kabisa. We Nasibu tega sikio nikufunze, mapenzi ni kujitoa pasipo kutegemea malipo, mapenzi ni kupoteza uthibiti wa maisha yako na kudondokea penzini.
Inastajaabisha sana 😂
 
Diamond platinumz The true Legend...

Jamaa ana uandishi flanii hizi amazing nadhani ni Kwa sababu alianza kurapu kabla ya kubana pua...

Na hii inawabeba Sana wasanii waliopita Wasafi records.. wanajua kuandika Sana...

Mikwaju Mitano Nayoipenda zaidi toka Kwa Diamond Platinumz ni hii...

1. Mbagala
"Ile siku shekhe namwona anachoma ubani, unavishwa Pete unakua mke wa flani... Niliumia Sana sanaaaa ahaahha"...

Hapo yakikukuta ndo utaelewa mwamba alimaanisha nn

2. Sikomi
Kama kuna Ngoma imepangiliwa vizuri zaidi kutoka Kwa Simba basi Sikomi ni namba moja.... Kuanzia beat, mashariki, vina, content, vocal na video ni balaa tupu.

3. Ukimwona...
Huenda ndo wimbo wa Simba unaweza kukupa feeling zaidi za mahaba

4. Hunisumbui
Hakuna wimbo wa diamond naupenda kama huu

5. Kesho
Ile beat itachuja siku muziki ukitolewa duniani
Umepita mule mule🙌
 
DIAMOND PLATNUMZ NI MMOJA KATI YA WASANII KUTOKEA AFRIKA YA MASHARIKI KUFANYA VYEMA KIMATAIFA, NI MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII, DIAMOND PLATNUMZ NI MSANII MWENYE JUHUDI, USIKIVU, UTULIVU, AMEFANYA MAMBO MAKUBWA SANA KATIKA TASNIA YA MUZIKI.

UWEPO WA WASANII WA SASA HARMONIZE, LAVA LAVA, MBOSO, RAY VANNY, D VOICE, ZUCHU, YOTE HAYA NI MATUNDA NA MATOKEO CHANYA YA UCHAPA KAZI WA RAIS WA WASAFI.

ENDELEA KUPEPERUSHA BENDERA YETU NASSIB ABDUL ISSACK JUMA.
Fundi kabisa 🙌
 
Tano za diamond ni zile ambazo apig kilele ila mimi ni tatu tu ndio nakubali alipga kweli
1.TATIZO MBAGALA
2.FT OMARION
3FT WATERKELLERMEN
ila magodoro yamelowekwa maji mmmmh au izi nyingine uwezi kutambua kipaji chake
Kuna hallelujah mkuu umeisahau
 
Ukimuona ndio wimbo bora kwangu wa muda wote kutoka kwa Diamond ukifuatiwa na Nenda Kamwambie.
Hata aje aandike vipi sitokaa nimuelewe zaidi ya hizo mbili.
Nilitaka niseme hapa na mie, "ukimuona" ndio ngoma kaliiii kuliko.
 
Back
Top Bottom