Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

Ngoma zote mlizotaja ni kali ila kuna ngoma naona haiongelewagi kabisa inaitwa Far Away yuko na Vee Money ni ngoma classic sana[emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule mwshoni waliharibu aaah
 
Zamani jamaa alikua anaandika aisee.
Hizi amapiano zimeharibu kabisa hawa waandishi, wamebaki wachache mno.

Hata hawa waliopo hawana tungo kali zaidi ya kua kiitikio kireeefu hadi ili wadada watwerk tiktok.
 
Back
Top Bottom