cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 15, 2024 #61 MEGATRONE said: Ngoma zote mlizotaja ni kali ila kuna ngoma naona haiongelewagi kabisa inaitwa Far Away yuko na Vee Money ni ngoma classic sana[emoji91] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule mwshoni waliharibu aaah
MEGATRONE said: Ngoma zote mlizotaja ni kali ila kuna ngoma naona haiongelewagi kabisa inaitwa Far Away yuko na Vee Money ni ngoma classic sana[emoji91] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule mwshoni waliharibu aaah
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jun 15, 2024 #62 Zamani jamaa alikua anaandika aisee. Hizi amapiano zimeharibu kabisa hawa waandishi, wamebaki wachache mno. Hata hawa waliopo hawana tungo kali zaidi ya kua kiitikio kireeefu hadi ili wadada watwerk tiktok.
Zamani jamaa alikua anaandika aisee. Hizi amapiano zimeharibu kabisa hawa waandishi, wamebaki wachache mno. Hata hawa waliopo hawana tungo kali zaidi ya kua kiitikio kireeefu hadi ili wadada watwerk tiktok.