Casio JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 345 Reaction score 389 Aug 17, 2024 #41 Tanroads wapo vizuri sana, Kenya wameiga Baadhi ya vitu tz
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Aug 17, 2024 #42 t blj said: Ishu sio kama unapajua kibaha au la, ishu ni foleni ya kwa mathias kwenye mataa Click to expand... Napita kibaha nyakati zote,alfajir, asubuhi,mchana,alasiri,usiku kwa miaka 23
t blj said: Ishu sio kama unapajua kibaha au la, ishu ni foleni ya kwa mathias kwenye mataa Click to expand... Napita kibaha nyakati zote,alfajir, asubuhi,mchana,alasiri,usiku kwa miaka 23
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 Aug 17, 2024 #43 gallow bird said: Napita kibaha nyakati zote,alfajir, asubuhi,mchana,alasiri,usiku kwa miaka 23 Click to expand... Then you are not serious, hayo magari yanayopita njia ya zamani na kuja kutokezea picha ya ndege wanaenda kutalii nane nane?
gallow bird said: Napita kibaha nyakati zote,alfajir, asubuhi,mchana,alasiri,usiku kwa miaka 23 Click to expand... Then you are not serious, hayo magari yanayopita njia ya zamani na kuja kutokezea picha ya ndege wanaenda kutalii nane nane?
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Aug 18, 2024 #44 Smart Dude said: Nadhani una hangover ya utawala uliopita. Ishi Leo Jana ishapita. Click to expand... Nadhani hujui kuwa mtu asiyejifunza kutoka kwenye yaliyopita yuko doomed kurudia makosa ya zamani. Hiyo unayoisema 'jana imepita', ndiyo inapaswa kutuonyesha tufanye nini kesho.
Smart Dude said: Nadhani una hangover ya utawala uliopita. Ishi Leo Jana ishapita. Click to expand... Nadhani hujui kuwa mtu asiyejifunza kutoka kwenye yaliyopita yuko doomed kurudia makosa ya zamani. Hiyo unayoisema 'jana imepita', ndiyo inapaswa kutuonyesha tufanye nini kesho.