Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

Tanroads wapo vizuri sana, Kenya wameiga Baadhi ya vitu tz
 
Napita kibaha nyakati zote,alfajir, asubuhi,mchana,alasiri,usiku kwa miaka 23
Then you are not serious, hayo magari yanayopita njia ya zamani na kuja kutokezea picha ya ndege wanaenda kutalii nane nane?
 
Nadhani una hangover ya utawala uliopita. Ishi Leo Jana ishapita.
Nadhani hujui kuwa mtu asiyejifunza kutoka kwenye yaliyopita yuko doomed kurudia makosa ya zamani. Hiyo unayoisema 'jana imepita', ndiyo inapaswa kutuonyesha tufanye nini kesho.
 
Back
Top Bottom