Wewe tulia akili zako ni ndogo[emoji23][emoji23]Wapi hakuna uhitaji? Dodoma Kuna congestion ipi kuzidi junction ya Mafiat au CBD ya Mwanjelwa au Junction ya Meta?
Au hayo mahitaji unayaona wewe punga peke yako?
You just imagine[emoji22][emoji22]Yaani the only purpose ni beautification,,,[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]umenifanya niikumbuke Tanzanite bridge
Unadhani hawatumii akili?wanatumia akili kuliko unavyodhani kupanga mbinu zao za kupata ulajiBongo huwezi kutana na watu wa mamlaka wanaotumia akili inapopaswa kutumia akili...
Mbezi Mwisho pale tu kuweka zile over pass ilikuwa ni baada ya kupigiwa kelele...
Narudia tena hicho ni kisingizio Cha kijinga.Kwani ujenzi wa Barabara hapa Tzn una jipya lipi kiasi kwamba wengine waweze ila Tzn ndio ishindikane?Kuhusu gharama bado sijafanya tafiti ila kwa Tanzania gharama zimepaa kutoka Milioni 800 mwaka 2014 hadi kufikia shilingi 1.6Bilioni mwaka 2022
Tatizo ninaloliona ni kukosekana kwa Uzalendo miongoni mwa Wataalamu wetu na Viongozi wetu wa Kitaifa
Hawa Tanroads ni Janga, nikikaa na kuona sifa wanazopewa huwa nasikitika sana, Kwani ni wataalamu ambao wamejitoa ufahamu!! Wao priority ni Matumbo Yao TU, kutumia taaluma Yao wameweka pembeni!! Niseme TU, wataalamu washauri kazi Yao ni kusikiliza mahitaji ya mwenye kazi ambaye ni Tanroads, ila mwenye KAZI akiwa shortsighted na mshauri anamletea a short sighted design!!Ninachofahamu ni kuwa Tanroads hafanyi mwenyewe design isipokuwa anatumia Mkandarasi Mshauri yaani Consultant
Mkandarasi Mshauri ana-design kutokana na mahitaji ya Client ambaye ni Tanroads
Lakini tunajua kuwa Tanroads anafanya kazi kwa niaba ya Serikali maana ndiyo mtoa fedha
Sasa vipi iwapo mtoa fedha amepelekewa Mahitaji ya fedha ya kujenga barabara ya njia 8 lakini akasema nina hela ya kujenga njia 4?
Huyo Tanroads atatoa wapi fedha ya kujenga hizo njia 4 nyingine?
Kuhitimisha hili ni kuwa tusiwape lawama Tanroads bila kuangalia upana wa jambo lenyewe maana gharama za kujenga barabara ya njia mbili yaani 2-lanes ilifikia shilingi bilioni 1.6 kwa kila kilomita moja.
Imagine unajenga barabara ya kilomita 20 kwa Lane 8 itakuwa shilingi ngapi?
Tujikune Mkono unapofikia
Inasikitisha.You just imagine[emoji22][emoji22]
CCMTANROADS wanasimamiwa na nani??
Watu siwanalipwa kupisha mradi mbona una mawazo yakitoto sana kaka,,,,jknia imepanuliwa vipi watu hawakulipwa???Ni wapi mna eneo la ukubwa huo kuweka bara bara …mnachojua ni kulaumu na kulia lia mnataka maendeleo mkidhani kuongea ni rahisi!
Wewe ni zezeta narudia zezeta[emoji23][emoji23][emoji23] Akili huna!Narudia tena hicho ni kisingizio Cha kijinga.Kwani ujenzi wa Barabara hapa Tzn una jipya lipi kiasi kwamba wengine waweze ila Tzn ndio ishindikane?
Mpaka hapo unaona Kuna shida huko TanRoads Kuna Majitu majinga tuu yamekariri maisha.
Jiti limeshupaa kabisa kwamba eti miundombinu haijengwi kupendezesha Mji [emoji23][emoji23]
Angalia hicho kituko Cha Ubungo mnaita flaiova kwanza ni hovyo hara gharama kubwa kulinganisha na interchange 4 level ya Ghana.
Umesema sahihiHawa Tanroads ni Janga, nikikaa na kuona sifa wanazopewa huwa nasikitika sana, Kwani ni wataalamu ambao wamejitoa ufahamu!! Wao priority ni Matumbo Yao TU, kutumia taaluma Yao wameweka pembeni!! Niseme TU, wataalamu washauri kazi Yao ni kusikiliza mahitaji ya mwenye kazi ambaye ni Tanroads, ila mwenye KAZI akiwa shortsighted na mshauri anamletea a short sighted design!!
Natoa mfano mdogo, Kwa hapa
Sasa tunachoangalia nibhela au huitaji wa sasa maana kama issue ni gharama magufuli asingeanzisha mradi wa SGR ambao ni multi trilion tsh...Ninachofahamu ni kuwa Tanroads hafanyi mwenyewe design isipokuwa anatumia Mkandarasi Mshauri yaani Consultant
Mkandarasi Mshauri ana-design kutokana na mahitaji ya Client ambaye ni Tanroads
Lakini tunajua kuwa Tanroads anafanya kazi kwa niaba ya Serikali maana ndiyo mtoa fedha
Sasa vipi iwapo mtoa fedha amepelekewa Mahitaji ya fedha ya kujenga barabara ya njia 8 lakini akasema nina hela ya kujenga njia 4?
Huyo Tanroads atatoa wapi fedha ya kujenga hizo njia 4 nyingine?
Kuhitimisha hili ni kuwa tusiwape lawama Tanroads bila kuangalia upana wa jambo lenyewe maana gharama za kujenga barabara ya njia mbili yaani 2-lanes ilifikia shilingi bilioni 1.6 kwa kila kilomita moja.
Imagine unajenga barabara ya kilomita 20 kwa Lane 8 itakuwa shilingi ngapi?
Tujikune Mkono unapofikia
Unadhani hawatumii akili?wanatumia akili kuliko unavyodhani kupanga mbinu zao za kupata ulaji
Viongozi wetu waanze kuwa waadilifu ili kurudisha uadilifu Serikalini maana sasahivi mambo ya business as usual ndiyo yameshika hatamu.Narudia tena hicho ni kisingizio Cha kijinga.Kwani ujenzi wa Barabara hapa Tzn una jipya lipi kiasi kwamba wengine waweze ila Tzn ndio ishindikane?
Mpaka hapo unaona Kuna shida huko TanRoads Kuna Majitu majinga tuu yamekariri maisha.
Jiti limeshupaa kabisa kwamba eti miundombinu haijengwi kupendezesha Mji 😂😂
Angalia hicho kituko Cha Ubungo mnaita flaiova kwanza ni hovyo hara gharama kubwa kulinganisha na interchange 4 level ya Ghana.
Mkuu, Tanzania ina eneo la ardhi ya square kilometers 945,087 na square kilometers 61,000 ya eneo la maji na mito. Ni eneo kubwa kiasi gani TANROAD wanahitaji kujenga barabara za mfano?...Eneo lote la JMT limehodhiwa na Serekali inayoshindwa kujenga barabara kuu pana na za viwango vya kimataifa ...Hii ni aibu kwa mainjinia wetu na taasisi zote zinazopokea mafungu ya pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo ya miundombinu. 🤔Ni wapi mna eneo la ukubwa huo kuweka bara bara …mnachojua ni kulaumu na kulia lia mnataka maendeleo mkidhani kuongea ni rahisi!
Wewe huna akili ila umekaririshwa na inaonekana ni mshamba Fulani huna exposure yeyote.Kwa akili zako ChoiceVariable hata mtoto wa kindergaten is miles ahead[emoji23][emoji23]
Acha siasa mzeeViongozi wetu waanze kuwa waadilifu ili kurudisha uadilifu Serikalini maana sasahivi mambo ya business as usual ndiyo yameshika hatamu.
Mungu atusaidie tutoke hapa tulipo maana Nchi ni kama imekosa Visionary leaders
Mahitaji ndiyo hupelekea gharamaSasa tunachoangalia nibhela au huitaji wa sasa maana kama issue ni gharama magufuli asingeanzisha mradi wa SGR ambao ni multi trilion tsh...
Harafu yamekaririshwa ooh gharama.Nchi maskini kama Rwanda inajenga barabara nzuri na za Kisasa kwenye Miji Yao ,Je huko gharama hazihusiki?Mkuu, Tanzania ina eneo la ardhi ya square kilometers 945,087 na square kilometers 61,000 ya eneo la maji na mito. Ni eneo kubwa kiasi gani TANROAD wanahitaji kujenga barabara za mfano?...Eneo lote la JMT limehodhiwa na Serekali inayoshindwa kujenga barabara kuu pana na za viwango vya kimataifa ...Hii ni aibu kwa mainjinia wetu na taasisi zote zinazopokea mafungu ya pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo ya miundombinu. 🤔