Soma kabla ya kukurupuka wewe mjinga!!!!Kwa hiyo hakuna uhitaji wa barabara za njia 4 Dar ?
Kama upo TANROADS na ndo ulivyo kilaza hivyo basi kweli nchi hii maendeleo tutayasikia kwenye bomba tu.
Ujenzi wa Barabara hauwezi kuisha na ni endelevu sana Hadi huko Kwa WaliotanguliaAsali ya kulamba itatoka wap sasa wakijenga cha kudumu?
Kwani kosa lake nini?Si uhamie kisumu tu.
Umeandika jambo gani la maana hapo? Kama wewe ndo upo TANROADS basi ivunjwe tu wapewe wazungu hakikaSoma kabla ya kukurupuka wewe mjinga!!!!
Si akaenjoy flyover jamaniπ€Kwani kosa lake nini?
Wewe unaakili kweli??? Unajua kusoma?? Unajitambua?? Au ni mwendawazimu??Umeandika jambo gani la maana hapo? Kama wewe ndo upo TANROADS basi ivunjwe tu wapewe wazungu hakika
Hata Lilongwe pale kuna Interchange moja nzuri sana! sio lile li msaraba la ple Ubungo.Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
Ndio huwa nawashangaa watanzania, watu wanaumizwa na huwa hawaji hapa hata kutoa machozi, wanaona business as usualYaani faini ya kuharibikiwa gari? Gari si linaharibika popote, hapo kulipa faini inawezekana vipi?
La Ubungo hovyo kabisaHata Lilongwe pale kuna Interchange moja nzuri sana! sio lile li msaraba la ple Ubungo.
Kwetu Elimu Cheti Siyo UjuziHii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
π πππ€£πKile KichanjaLa
La Ubungo hovyo kabisa
Abuja ndio Kisumu; wewe kamanda uchwara vipi?Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
Wewe fikiria barabara ya City center to DSM airport mwaka 1980 ilijengwa njia nne Sasa Miaka zaidi ya arobaini mtaalamu WA Tanroads anaendelea kuruhusu njia nne baada ya miaka zaidi ya 40 kwenye mradi WA Brt utasema yuko sawa huyo!? Au yupo yupo TU!? Pia Kuna kituko kingine ila ujenzi Bado barabara ya mikocheni na tabata wamepitisha njia Moja moja kwenye brt namba Tano, Yaani magari yasipishane, Yaani over taking hii SI aibuHakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.
Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Hiyo barabara imenipasulia tairi la gari alhamisi liyopita...barabara imechoka balaa...wachina sio watuTANROAD wao wanaombea barabara ziharibike mapema wapige pesa, juzi nimepita barabara ya Arusha Singida kuanzia Babati mpka karibu na Singida ni mashimo tupu na barabara haina hata miaka 10, tuna taasisi za kijinga haswa
Watz hawaelewii wanachokitaka hapa kila mtu anajikuta ni mtaalamu!!!Ilipoanza kujengwa mlilalamika sana na kusema hamtaki maendeleo ya vitu mnataka ya watu