TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Kwa hiyo hakuna uhitaji wa barabara za njia 4 Dar ?

Kama upo TANROADS na ndo ulivyo kilaza hivyo basi kweli nchi hii maendeleo tutayasikia kwenye bomba tu.
Soma kabla ya kukurupuka wewe mjinga!!!!
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Hata Lilongwe pale kuna Interchange moja nzuri sana! sio lile li msaraba la ple Ubungo.
 
Yaani faini ya kuharibikiwa gari? Gari si linaharibika popote, hapo kulipa faini inawezekana vipi?
Ndio huwa nawashangaa watanzania, watu wanaumizwa na huwa hawaji hapa hata kutoa machozi, wanaona business as usual
 
Usimjibu vibaya nyie Tanroads mnatia aibu, mnajenga barabara mnafanya uzembe WA kupitia michoro baada ya mwaka mnakuja na projects za hovyo mnaita improvement of intersection, je wakati inajengwa hamkusoma michoro, only one Year barabara ni superseeded
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Kwetu Elimu Cheti Siyo Ujuzi
Hao Wametumia Ujuzi Wao Walioupata Shule
 
Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.

Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Wewe fikiria barabara ya City center to DSM airport mwaka 1980 ilijengwa njia nne Sasa Miaka zaidi ya arobaini mtaalamu WA Tanroads anaendelea kuruhusu njia nne baada ya miaka zaidi ya 40 kwenye mradi WA Brt utasema yuko sawa huyo!? Au yupo yupo TU!? Pia Kuna kituko kingine ila ujenzi Bado barabara ya mikocheni na tabata wamepitisha njia Moja moja kwenye brt namba Tano, Yaani magari yasipishane, Yaani over taking hii SI aibu
 
TANROAD wao wanaombea barabara ziharibike mapema wapige pesa, juzi nimepita barabara ya Arusha Singida kuanzia Babati mpka karibu na Singida ni mashimo tupu na barabara haina hata miaka 10, tuna taasisi za kijinga haswa
Hiyo barabara imenipasulia tairi la gari alhamisi liyopita...barabara imechoka balaa...wachina sio watu
 
Shidaa siyo Tanroad mbalii tatizo lipo kwa serikali (CCM) kwani wao hizo barabara hawazionii au wao wanapitaa wapii?? Sekta zote nchi hii ni ovyo,MACHAWA wanathaminika kwenye nchi hii kuliko mhandisii au daktarii unategemea Nini??? Tatizo la nchi hii ni MACHAWA kutwa nzima mnasifia barabara zimejengwa then hapa mnalalamika Nini?? Upuuzii mtupu!!!

Kila mtu nchi hii anakula kulingana na urefu wa kamba yake hakuna taasisi ya umma yenye unafuu kila mtu anajali maslahii yake binafsii na siyo ya taasisi!!!!
 
Ilipoanza kujengwa mlilalamika sana na kusema hamtaki maendeleo ya vitu mnataka ya watu
 
Back
Top Bottom