Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano sehemu ambazo wameweka mataa barabara ya njia 8 , tena na zebra za wapita kwa miguu.. unadhani hizo nazo ni akili?Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.
Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
😂😂😂 hao TanRoads ni mfano mdogo tuu wa mataasisi yaliyojaa watu mbumbumbu.Barabara ni professional designs, na Kuna vigezo vya kuruhusu barabara iweze kukubalika kujengwa, hapa Dar barabara inakwepa nguzo ya umeme, barabara hakithi viwango vya slope, barabara inajengwa Haina nafasi ya mtumiaji mwingine, mwenda Kwa miguu na mtaalamu WA Tanroads anaona ni SAWA, kama barabara ya kimara kibaha, design ni mbovu na inachangia vifo vingi vya wavukaji, hakuna kizuia jua au mvua, Engineer WA Tanroads anakuja Huku akiwa ameshina msosi anasema tupo complete asilimia 100, like seriously!!
Kuna barabara inatoka Hapa Dar Kwa Msuguri kwenda Malamba mawili, hii barabara imejengwa Kwa zege na gharama kubwa ila Haina upana WA watumiaji wengine, watoto wanagongwa Kila siku, who cares, usanifu WA barabara ni kuangalia matumizi ya watumiaji wote, ila Hawa Tanroads hawajali kutumia utaalamu wao!! Narudia ni Janga
Hizo sio akili! Hilo lipo wazi.Kwa mfano sehemu ambazo wameweka mataa barabara ya njia 8 , tena na zebra za wapita kwa miguu.. unadhani hizo nazo ni akili?
Sahihi MkuuNdio inatakiwa hizo nafasi watu waombe Ili wapate Kwa merit sio kuteuliwa na Rais mpaka connection.
Watu wa hivyo wanaweza kuwabadili Watumishi wao ambao wanaishia Kwa kukaririshwa hawana uelewa Nje ya hapo.
Nitajie wewe Mji gani mkubwa hapa Tanzania hauna uhitaji wa Barabara nzuri na za Kisasa.Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.
Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Kumejaa wajinga kweli hili lipo wazi kabisa!Nitajie wewe Mji gani mkubwa hapa Tanzania hauna uhitaji wa Barabara nzuri na za Kisasa.
Mwisho sio lazima uwe unafanya kazi TanRoads Bali kule kumejaa watu wenye akili za kipumbavu kama wewe.
Nakubaliana na ubora wa design, ila kusema Kisumu ni mji mdogo kabisa huko Kenya hapo nakataaHii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
Huu upumbavu uko Hadi TARURA.Hivi Hawa watu Huwa wanaelewa kwamba jukumu lao ni ku complement sera za Serikali za kukuza biashara badala ya kuwa kikwazo?Hawa Tanroads, Kuna hizi barabara wanaboresha, natoa mfano, masana goba to mbezi, na wazo mbezi, hizi barabara mwanzoni kwenye vumbi zilikuwa zinabeba uzito Hadi Tani ishirini Hawa ndiyo watumiaji waliowakuta, Sasa wao wameboresha na kuweka limit Tani kumi, Sasa kinachotokea Hawa watumiaji walishazoea, Sasa iweje usanifu hakuwazingatia watumiaji!? Ila baada ya kufuatilia nimegundua hivi vibao ni ATM za wataalamu WA Tanroads, Watu WA malori wanakamatwa na kutoa Rushwa kubwa!! Kwani faini iliyowekwa hailipiki makusudi, ili Rushwa iwe kubwa!! Takukuru mkoa wapi!?
Kabisa! Kuzozana kwangu na wewe haimaanishi sitaunga mkono hoja za muhimu[emoji122][emoji122]Huu upumbavu uko Hadi TARURA.Hivi Hawa watu Huwa wanaelewa kwamba jukumu lao ni ku complement sera za Serikali za kukuza biashara badala ya kuwa kikwazo?
Kuna sehemu nimeona Tarura wanajenga Barabara wanazoita za Vijijini kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji.Cha kushangaza wanajenga Barabara za tani 10 harafu baadae wanazuia magari.
Unajiumiza hivi Huwa wanafikiria sawa sawa au lengo loa ni nini? Kwamba Kirikuu ndio zikabeba miti,mbao na magunia?
Nchi hii Ina watu wapumbavu sana kwenye sekta nyingi.
Hata usupounga mkono au ujenge sioati Wala kukosa pesa.Kabisa! Kuzozana kwangu na wewe haimaanishi sitaunga mkono hoja za muhimu[emoji122][emoji122]
Eti Kwa mfano ukiharibikiwa na Gari (lori) daraja la kijazi faini laki tisa, unazuiwa usifanye chochote, brake down laki Tano, hivyo unatakiwa ulipe million na laki nne, huu uonevu unaofanywa na Hawa jamaa Mungu atawalipiaHuu upumbavu uko Hadi TARURA.Hivi Hawa watu Huwa wanaelewa kwamba jukumu lao ni ku complement sera za Serikali za kukuza biashara badala ya kuwa kikwazo?
Kuna sehemu nimeona Tarura wanajenga Barabara wanazoita za Vijijini kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji.Cha kushangaza wanajenga Barabara za tani 10 harafu baadae wanazuia magari.
Unajiumiza hivi Huwa wanafikiria sawa sawa au lengo loa ni nini? Kwamba Kirikuu ndio zikabeba miti,mbao na magunia?
Nchi hii Ina watu wapumbavu sana kwenye sekta nyingi.
Yaani faini ya kuharibikiwa gari? Gari si linaharibika popote, hapo kulipa faini inawezekana vipi?Eti Kwa mfano ukiharibikiwa na Gari (lori) daraja la kijazi faini laki tisa, unazuiwa usifanye chochote, brake down laki Tano, hivyo unatakiwa ulipe million na laki nne, huu uonevu unaofanywa na Hawa jamaa Mungu atawalipia
We mwenyewe muongo sisi ndiyo tumefanya kaz hapo hiyo barabara imeanza kujengwa 2009 had 2012 ndiyo ilikamilika kutoka singida had babat then babat had minjinguNetanyahu a.k.a Pakashume usiwe mwongo,Barabara ya Singida to Babati imekamilika toka 2012 ndio iwe Haina hata miaka 10? Tena kipande Cha dareda to Babati ndio kilichelewa Ila Singida to katesh toka 2009 kilikuwa tayari Kama vile kipande Cha Babati to Minjingu Sasa usiwe muongo Kama huyo wajina lako uwe na taarifa sahih
Kwa hiyo hakuna uhitaji wa barabara za njia 4 Dar ?Hakuna mtu ambaye hapendi barabara nzuri za kisasa 6 lanes mpaka 14 lanes huko zilizo na interchanges/flyovers za kisasa etc.
Swali ni je kuna uhitaji sehemu husika au unataka mabillion ya fedha yachomwe kisa beautification wewe zezeta.
Wamerithi kuacha ni ngumu waasisi wake ni mzee wa kulamba asali huoni watoto nao wanalamba asaliTatizo ni mfumo ovu hata shetani anatushangaa sn
Tatizo asaliUwezo wanao ni ujinga tuu umewajaa kichwani.
Kwanza wamenikera sana yaani wanajenga Barabara ya Njia 4 Mbeya ila pale Makutano ya Mafyati Wameshindwa kabisa ku design simple flyover Ili kupendezesha Jiji.
Wanakera sana hao TanRoads,hawezi kabisa kufanya kitu Cha kudumu na Bora ila kulipua lipua ndio wanachowwza.
Kenya na Uganda Miji Yao Mingi Ina interchange na flyovers kibao ila Tanznaia Sasa ni shida tupu.