EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Azitapike aiseePay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua billioni 1.5 ndani ya miezi miwili.
Nope this is too much kwanini wasifungue ike ya ubungo stend kwa mda inayotokea mawasiliano then mtu anazungukia sinza anaenda makumbusho, huko ulaya mizunguko ni kutokana na barabara za juu .Hata ulaya ni hivyo hivyo mkuu ndio maendeleo hayo
Ukitoka mawasiliano stand kama unataka kwenda mwenge lazima ukazunguke kwenye Daraja la Kijazi ni upuuziLeo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City..
Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.
Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.
Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.
Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Yaani upuuzi mkubwa mbona Mwendokasi hazunguki hawa injia wetu bure kabisaUkitoka mawasiliano stand kama unataka kwenda mwenge lazima ukazunguke kwenye Daraja la Kijazi ni upuuzi
Tabu ya wachaga hawatoagi collabo kwa watu wa makabila mengine tofauti na wahaya.Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua billioni 1.5 ndani ya miezi miwili.
Halafu wewe unaeshukia mlimani city,kivulini au mpakani ushukie wapi kama wakipitia sinza direct to MakumbushoNope this is too much kwanini wasifungue ike ya ubungo stend kwa mda inayotokea mawasiliano then mtu anazungukia sinza anaenda makumbusho, huko ulaya mizunguko ni kutokana na barabara za juu .
Kwann wasiweke taa magari yaingie na kutoka??
Mwanzoni walikua wakitoka mawasiliano wanapita sinza wanaingilia sinza makaburini kurudi tena Sam nujoma road....ni almost mzunguko uleule maana sinza pia unakutana na taa sehem mbili kabla utoboe sam nujomaUkitoka mawasiliano stand kama unataka kwenda mwenge lazima ukazunguke kwenye Daraja la Kijazi ni upuuzi
Siku nyingine panda ambazo haziingii mawasiliano wanatangaza kabisa ngoma inanyooka tuLeo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.
Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.
Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.
Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.
Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Tafuta nauli na passport ukaoshe macho UlayaLeo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City. Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala. Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower. Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about. Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Huko ni ulaya ila ukiangalia mbona hapa zinakaa tu kama shekilangoTafuta nauli na passport ukaoshe macho Ulaya
Hilo suala la ukitoka interchange barabara ya chini kuja mawasiliano uingilie njia ilipokuwa mwanzo ingeleta mkanganyiko ndio maana wakapeleka mawasiliano ...elewa kwamba mwendokasi itakapoanza kutumia njia yake ya juu kijazi kuja ilipo yard mpya (kituo Cha zamani ubungo) kupitia mawasiliano itakunja straight kuingia hiyo njia ya mawasiliano....Sasa Incase mwendokasi ikikata Kona na hayo magari kutoka kimara kukata Kona hapo hapo junction ...means magari ya kutoka kimara yatakuwa yanagombea njia na magari toka mwenge kuingia mawasiliano na kusababisha foleni pande zote...lile eneo ilipokuwa junction zamani it's better linakawa Ivo...saiv pale hakuna jam magari yanakwenda straight unakotaka kwenda..minadhani wako sahihi...Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.
Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.
Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.
Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.
Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Nilisikia wanajenga njia kutokea Ubungo Terminal inavuka mto nyingine itakuwa yakwenda Buguruni na nyingine itaingia Mawasiliano, ila ingeshauriwa, Mabasi yanayoendelea Mwenge bora yazungukie Sinza kuliko kurudi KijaziLeo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.