EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.
Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.
Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.
Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.
Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.