TANROADS hii barabara ya kuingia na kutoka Mawasiliano sijawaelewa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.

Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.

Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.

Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.

Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
 
Hata ulaya ni hivyo hivyo mkuu ndio maendeleo hayo
Nope this is too much kwanini wasifungue ike ya ubungo stend kwa mda inayotokea mawasiliano then mtu anazungukia sinza anaenda makumbusho, huko ulaya mizunguko ni kutokana na barabara za juu .

Kwann wasiweke taa magari yaingie na kutoka??
 
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City..

Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.

Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.

Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.

Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Ukitoka mawasiliano stand kama unataka kwenda mwenge lazima ukazunguke kwenye Daraja la Kijazi ni upuuzi
 
Nope this is too much kwanini wasifungue ike ya ubungo stend kwa mda inayotokea mawasiliano then mtu anazungukia sinza anaenda makumbusho, huko ulaya mizunguko ni kutokana na barabara za juu .

Kwann wasiweke taa magari yaingie na kutoka??
Halafu wewe unaeshukia mlimani city,kivulini au mpakani ushukie wapi kama wakipitia sinza direct to Makumbusho
 
Ukitoka mawasiliano stand kama unataka kwenda mwenge lazima ukazunguke kwenye Daraja la Kijazi ni upuuzi
Mwanzoni walikua wakitoka mawasiliano wanapita sinza wanaingilia sinza makaburini kurudi tena Sam nujoma road....ni almost mzunguko uleule maana sinza pia unakutana na taa sehem mbili kabla utoboe sam nujoma
 
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.

Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.

Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.

Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.

Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Siku nyingine panda ambazo haziingii mawasiliano wanatangaza kabisa ngoma inanyooka tu
 
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City. Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala. Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower. Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about. Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Tafuta nauli na passport ukaoshe macho Ulaya
 
Wee unataka kuwahi wapi? usababishe foleni kisa unataka ku avoid mzunguko usiochukua dakika 2, nchi za watu unaweza kutembea nusu saa hujapata sehemu ya kuchepuka..
 
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.

Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.

Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.

Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.

Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Hilo suala la ukitoka interchange barabara ya chini kuja mawasiliano uingilie njia ilipokuwa mwanzo ingeleta mkanganyiko ndio maana wakapeleka mawasiliano ...elewa kwamba mwendokasi itakapoanza kutumia njia yake ya juu kijazi kuja ilipo yard mpya (kituo Cha zamani ubungo) kupitia mawasiliano itakunja straight kuingia hiyo njia ya mawasiliano....Sasa Incase mwendokasi ikikata Kona na hayo magari kutoka kimara kukata Kona hapo hapo junction ...means magari ya kutoka kimara yatakuwa yanagombea njia na magari toka mwenge kuingia mawasiliano na kusababisha foleni pande zote...lile eneo ilipokuwa junction zamani it's better linakawa Ivo...saiv pale hakuna jam magari yanakwenda straight unakotaka kwenda..minadhani wako sahihi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City.

Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala.

Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower.

Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about.

Huu ni mzunguko mrefu usio na tija fungueni njia ya kutoka Ubungo kuingia Mawasiliano.
Nilisikia wanajenga njia kutokea Ubungo Terminal inavuka mto nyingine itakuwa yakwenda Buguruni na nyingine itaingia Mawasiliano, ila ingeshauriwa, Mabasi yanayoendelea Mwenge bora yazungukie Sinza kuliko kurudi Kijazi
 
Back
Top Bottom