Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni.
Pale eneo la Pallangyo, ni muhimu kujenga kituo cha kushushia na kupakia abiria. Fedha zetu, kama Watanzania, zinapaswa kutumika kutoa huduma zinazostahili kwa usalama wa wananchi.
Pale eneo la Pallangyo, ni muhimu kujenga kituo cha kushushia na kupakia abiria. Fedha zetu, kama Watanzania, zinapaswa kutumika kutoa huduma zinazostahili kwa usalama wa wananchi.