peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna mizani ya ya Tanroads ya kupima malori Kati ya arusha na Moshi Tanzania?Nadhani tanroads ndo anatakiwa kulaumiwa kwa kujenga barabara zilizo chini ya kiwango....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibikiKuna mizani ya ya Tanroads ya kupima malori Kati ya arusha na Moshi Tanzania?
Copper inasafirisha usiku tu? Huko soda zinasafirishwa usiku tu.Mkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mizani ya kupima uzito malori Kati ya arusha na moshi iko eneo gani?Acha kupaka matope watu
Wapi Tanzania uliwahi kukuta kati ya mkoa na mkoa Hakuna mizani ya Tanroads?Acha kupaka matope watu
Mizani ya kupima uzito malori Kati ya arusha na moshi iko eneo gani?
Ila hiyo barabara ya Moshi Arusha imesimama. Sijui ni contractor gani alitengeneza ile, ni moja ya lami zenye ubora wa juu kabisa, miaka mingi iko intact, japo nina miaka kadhaa lakini sijaja tena huko, vipi siku hizi mkuu hiyo barabara imeanza ku crak?Somo limeeleweka.
Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha.
Cha kushangaza na kufurahisha malori hayo huwa yanaanza safari saa moja jioni kuelekea arusha na kurudisha chupa tupu Kesho yake asubuhi.
Tanroads Kilimanjaro babaraba zinaharibika Kila siku hawajawafanya utafiti ni kwanini.
Fuatilieni sasa Mpatie sababu.
Ninaomba kuwasilisha
Huyo mleta uzi mshamba tuu hajui lolote kuhusu densitiesMkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Kwan unataka Barabara iharibike papo hapo, life span ya Barabara lazma iishe mapema. Kudumu Kwa road kunaisha mapemaMkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibiki
Sent using Jamii Forums mobile app