Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mkuu ulivyocomment ni sawa mtu anabishana kokoto kilo 5 na pamba kilo saa ipo nzito...... mtu anasema pamba ni nyepesi hahaha....Mkuu soda sio nzito na haziwezi kuharibu barabara..hapo tatizo ni barabara imejengwa chini ya kiwango....huku tunduma gari zinabeba copper ambayo ni nzito sana na barabara haiharibiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzito ni uzito regardless of material carried. Kama kopa imepimwa na haijazidi uzito huwezi sema soda haziwezi kuzidi uzito wa kopa.
So funny...