- Thread starter
- #21
Ooh wanawake tena! Ama kweli wanawake wanavutiwa na vingi hadi mabanda?Pale Morogoro karibu na Tanesco kuna crossway sign na matuta kila upande lakini panatafuna watu na magari kila mwaka kadhalika maeneo mengine mengi tu Tanga, Dar ni hivyo, wakiweka mifumo ya umeme ni salama, mbona wana vibanda vya walinzi mle kwenye crossway wanalinda nini zaidi ya kuvutia wanawake usiku mle