TANROADS na TRC wekeni matuta kwenye makutano ya barabara na njia za treni; Alama na ishara hazitoshi maeneo hayo

Ooh wanawake tena! Ama kweli wanawake wanavutiwa na vingi hadi mabanda?
 
Ndo utalinganisha sasa kati ya gari kuharibika AU kufanywa chapati na wewe kupoteza maisha na pengine mtapoteza wengi
Tujifunze kuheshimu alama za barabarani....

Tabata relini hapo hakuna tuta ila hakuna ajali. Ni kuheshimu alama. Full stop.
 
Wenzetu wanawezaje kutumia barabara bila kuweka matuta,milima
Aise

Ova
 
Kuna ajali imetokea jana Kati ya kiberenge na gari. Gari imesagwa kabisa dereva kafariki, nafikiri ni hapo ulipopataja.
 
aiseee pole sana hii ndio Tanzania ata waliosoma wana akili sawa na ambao hawajasoma. Kwaiyo kuwa support na kutumia hizo project zenu waliona kama vile mtafaidi sana
 
Kuna ajali imetokea jana Kati ya kiberenge na gari. Gari imesagwa kabisa dereva kafariki, nafikiri ni hapo ulipopataja.
Duh hatari sana huo mzinga inaelekea ulikuwa siyo wa inchi hii
 
Kuna uzembe mwingi unafanywa na Shirika la reli, baadhi ya maeneo kuna majani marefu kama msitu na ni ngumu kuona kama treni inakuja
How mfano sip watia lawama tu
 
Toa mfano hai sio watoa lawama. TRC wako vizuri kuzingatia usalama wa watumiaji wote wa reli na barabara
 
Mtu kuigonga treni ni uzembe wa huyo mtu
 
kwenye hii treni ya kisasa ni bora waweke vizuizi kabisa vya kujifunga na kufunguka au traffic light.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…