Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👇🏿Tumepoteza pakubwa aisee
👆🏾Yule ndiye alikuwa anaweza kwa wakati wake ila mkaona hafai mnazuiwa mambo yenu.Barabara ya shopparz plaza mikocheni, mkandarasi katandaza mashimo harafu kayaacha siku inaenda ya kumi hii ka si nane, Tanzania sisi bila kushikiana viboko hatuendi
Ramani ya awali kuna turoundabouts vya juu kwa juu. Hakukuwa na biashara ya taa tena kwani mmoja angekuwa na lane yake.Ubungo amekuharibu? Unaishi wapi mkuu
Nafahamu,kwahiyo kubadili ramani ndio kuharibu? Unajua tulikua tunakaa hata 2 hours pale ubungo mida ya jioni? Unajua saizi hatukai hata dakika tatu pale kwenye taa?Ramani ya awali kuna turoundabouts vya juu kwa juu. Hakukuwa na biashara ya taa tena kwani mmoja angekuwa na lane yake.
Mada unaikumbuka vizuri lakini? Aina ya barabara sio barabara tu.Nafahamu,kwahiyo kubadili ramani ndio kuharibu? Unajua tulikua tunakaa hata 2 hours pale ubungo mida ya jioni? Unajua saizi hatukai hata dakika tatu pale kwenye taa?
Kama kusolve yes tatizo limekuwa solved na thanks to the govt. Hata moro road tatizo almost ni solved tunachosema ni kitu tofauti lakini maana miundombinu ni zaidi ya njia ya usafiri pia hupendezesha mandhari ya sehemu.Kikubwa si ni kusolve matatizo yaliyopo...nakataa kwamba ubungo pameharibiwa wakati kila siku ndio njia yangu na najua noma tuliyokua tunaipata pale
Yeah that's right. Ila mbezi mwisho wamekosea sana aisee ilibidi pajengwe flyover za maana maana pale ndio lango la jiji saizi na ukizingatia nchi zote za kusini na magharibi mwa Africa zinapita njia hii halafu wanakuja kujenga upuuzi. Kwa mbezi hawajatumia akili hata mojaKama kusolve yes tatizo limekuwa solved na thanks to the govt. Hata moro road tatizo almost ni solved tunachosema ni kitu tofauti lakini maana miundombinu ni zaidi ya njia ya usafiri pia hupendezesha mandhari ya sehemu.
Yule alizidi,alikuwa hataki smart people,hapendi challenge,alikuwa na watu wachache waliokuwa wanatunyanyasa[emoji1541]
[emoji1483]Yule ndiye alikuwa anaweza kwa wakati wake ila mkaona hafai mnazuiwa mambo yenu.
Wapinzani wanaturudisha nyuma sana. Ngoja tumalizane kwanza na Mbowwe
Eti hapa ndio wame design 😄😄😄Halafu umeona kakituo ka malori pale kwa msuguli kalivyo kadogo? Ndo ujue hawa jamaa hawana akili kabisa yaani malori yalivyomengi njia hii na bado wamejenga kituko matokeo yake malori yanapaki road tena. Tanroads bhana
Huku ni miji midogo ya Kenya WAla sio NairobiWatz wanakata mishipa ya aibu hawaoni hata haya🤔.
Aliweza kipi? Si ndio alijenga hayo madizaini ya kipumbavu?👇🏿
👆🏾Yule ndiye alikuwa anaweza kwa wakati wake ila mkaona hafai mnazuiwa mambo yenu.