TANROADS njooni muone aibu

TANROADS njooni muone aibu

Kuna mwehu mmoja hata jengo la hospital lenye ghorofa hakutaka liwe na lift, ndio angekubali kujenga structure kama hizo. Huoni Ubungo alivyokuharibu pale maana ramani ya mwanzo haikuwa vile.
 
TANROADS/TARURA nao wanasababisha uharibifu usio wa lazima wa vyombo vya moto, kuna maeneo wamakata kata vipande vya lami ili kuweka viraka, hadi sasa ni wiki ya pili na bado havijawekewa lami. Wanaruhusuje mkandarasi kufanya kazi kizembee ivooo bila ata kuweka alama
 
Kuna mwehu mmoja hata jengo la hospital lenye ghorofa hakutaka liwe na lift, ndio angekubali kujenga structure kama hizo. Huoni Ubungo alivyokuharibu pale maana ramani ya mwanzo haikuwa vile.
Ubungo amekuharibu? Unaishi wapi mkuu
 
Ramani ya awali kuna turoundabouts vya juu kwa juu. Hakukuwa na biashara ya taa tena kwani mmoja angekuwa na lane yake.
Nafahamu,kwahiyo kubadili ramani ndio kuharibu? Unajua tulikua tunakaa hata 2 hours pale ubungo mida ya jioni? Unajua saizi hatukai hata dakika tatu pale kwenye taa?
 
Nafahamu,kwahiyo kubadili ramani ndio kuharibu? Unajua tulikua tunakaa hata 2 hours pale ubungo mida ya jioni? Unajua saizi hatukai hata dakika tatu pale kwenye taa?
Mada unaikumbuka vizuri lakini? Aina ya barabara sio barabara tu.
 
Mada unaikumbuka vizuri lakini? Aina ya barabara sio barabara tu.
Kikubwa si ni kusolve matatizo yaliyopo...nakataa kwamba ubungo pameharibiwa wakati kila siku ndio njia yangu na najua noma tuliyokua tunaipata pale
 
Kikubwa si ni kusolve matatizo yaliyopo...nakataa kwamba ubungo pameharibiwa wakati kila siku ndio njia yangu na najua noma tuliyokua tunaipata pale
Kama kusolve yes tatizo limekuwa solved na thanks to the govt. Hata moro road tatizo almost ni solved tunachosema ni kitu tofauti lakini maana miundombinu ni zaidi ya njia ya usafiri pia hupendezesha mandhari ya sehemu.
 
Yeah that's right. Ila mbezi mwisho wamekosea sana aisee ilibidi pajengwe flyover za maana maana pale ndio lango la jiji saizi na ukizingatia nchi zote za kusini na magharibi mwa Africa zinapita njia hii halafu wanakuja kujenga upuuzi. Kwa mbezi hawajatumia akili hata moja
 
[emoji1541]

[emoji1483]Yule ndiye alikuwa anaweza kwa wakati wake ila mkaona hafai mnazuiwa mambo yenu.
Yule alizidi,alikuwa hataki smart people,hapendi challenge,alikuwa na watu wachache waliokuwa wanatunyanyasa
 
Halafu umeona kakituo ka malori pale kwa msuguli kalivyo kadogo? Ndo ujue hawa jamaa hawana akili kabisa yaani malori yalivyomengi njia hii na bado wamejenga kituko matokeo yake malori yanapaki road tena. Tanroads bhana
Eti hapa ndio wame design 😄😄😄

A8C8FFB0-5C18-4F73-B342-952D60E16394.jpeg

BEF7CE1F-8C48-47B1-BD72-7C5A6C118149.jpeg
 
Back
Top Bottom