Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Hawezi kumuondoa labda atumie ubabe kama Yule mwendazake aliyemlazimisha Pr Assad astaafu Kwa lazima
Ni waziri wa ajabu kuwahi kutokea tanzaniaHuyu Gwajima huku amejifunika blanket na mumewe wakiwa wamevaa truck suit.
Ni wivu tu 😁Mantiki ya mfugale na kijazi kupewa jina la daraja la tazara na ubungo imekaa kiswahiba zaidi kuliko hali halisi kama washikaji na sio kimantiki ya usahii wa vigezo vya upewaji majina.
Sahihi majina halisi yarejeshwe.Tazara fly over na ubungo flyover.
Bora aende tu mbutu kwa yeriko akamfunze kulima bamia,kama hakupata teuzi awamu ya tano hali cv ikiwemo kabila vinambeba asahau.Nazisubiri sana post za ndg yetu aliyesubiria uteuzi muda mrefu bila mafanikio Pascal Mayala
Maana alishakuwa chizi siku hizi muda wote anashinda humu kusifia tu kuhusu magu
Full comedian na naibu wake aliyepewa teuzi kwa cv ya kumsifia jiwe bungeni na sio CV halisi.Ni waziri wa ajabu kuwahi kutokea tanzania
Unamzungumzia Pr Assad kwamba apewe tena nafasi hiyo?? Maana kwangu mm huyo jamaa alikuwa mzuri sana mwenye weredi wa hali ya juu sana sema ukweli wake kuhusu ile 1.5tril ndy ukamuondoa niliumia sana kwakweliMkuu Matanga shukrani kwa ufafanuzi ILA Rais wetu wa JMT Mh. Samia Sululu hasani si anaweza kumpa CAG wa sasa ubalozi hata huko New York ili iwe kama njia ya kumwondoa nchini? Je CAG akishamaliza muda wake mamlaka ya uteuzi inaweza kumteua tena baada ya kupita miaka fulani?
Ahsante
Hilo ni kubwa jinga!!Nazisubiri sana post za ndg yetu aliyesubiria uteuzi muda mrefu bila mafanikio Pascal Mayala
Maana alishakuwa chizi siku hizi muda wote anashinda humu kusifia tu kuhusu magu
Mtakoma Tunawapelekea Moto ule ule nani kawaambia kuna ahueni?Kwani aliposema awapeleki maendeleo kwa wapinzani, aliposema safarii hii awakosei, aliposema uvccm wamekuwa wapole Sana jeshi lao KILA kitu chao,alipotoa kauli za kintarahamwe ulikuwa ujazaliwa nini?
Aaah tupo salama,zama za ubabe na ushamba na propaganda zilikoma trh 17/3.Sasa ni uwazi, ukweli.Mtakoma Tunawapelekea Moto ule ule nani kawaambia kuna ahueni?
Hapa kuna ufisadi mkubwa sana, kama wakifanya ukaguzi wa miaka mitano ya nyuma watakugundua jiwe na genge lake wamekula sana ela za nchi hii.Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbali mbali nchini.
Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.
Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano.
Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.
Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS.
Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.
Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.
Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.
Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
TANROADS mkae mguu sawa.
Magu bwana...[emoji1787][emoji1787]Ufisadi unatoka wapi hapo?
Charles Kicheere ni mtu muadilifu sana!
Zilikoma tarehe 9 mkuu hiyo tarehe 17 ni baada ya shinikizoAaah tupo salama,zama za ubabe na ushamba na propaganda zilikoma trh 17/3.Sasa ni uwazi, ukweli.
Mzarendo kweri kweri.Mtakoma Tunawapelekea Moto ule ule nani kawaambia kuna ahueni?
Official 17Zilikoma tarehe 9 mkuu hiyo tarehe 17 ni baada ya shinikizo
OkOfficial 17
Kimenuka !Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbali mbali nchini.